Bilionea kid
JF-Expert Member
- Oct 19, 2018
- 581
- 519
Me nasubir aseme suu nione da mange atapost nn inaonesha nkitu kikubwa SanaMange anaendelea kumpa kiki konk master naona konk master akichekelea kwa mbali jinsi jina lake linavyoendelea kukua.
Baada ya mange kutulia konk kaamua amchokonoe kwa kumuita mange anakitako kidogo kama ndimu yote hayo dudu anataka aendelee kuongelewa
Sizan kama konk anachakupoteza hata kama ikiwa ni insu kubwa au ndogo anachotaka yeye ni kuongelewa tu na had mda huu jamaa ndo kaiteka instergramMe nasubir aseme suu nione da mange atapost nn inaonesha nkitu kikubwa Sana
Sasa mange anareputation gani mpaka useme anajishushia credit?Mange anajishushia credit
Ama credit gan na kwa nani!??Mange anajishushia credit
Zamani mimi binafsi kabla ya kumjua vizuri nilidhani ni mwanaharakati mmoja smart sanaAma credit gan na kwa nani!??