Bifu la konk! Konk! Konk! (Dudubaya) na Mange Kimambi ni balaa

Bifu la konk! Konk! Konk! (Dudubaya) na Mange Kimambi ni balaa

Ukiona Mange anatishia hivyo ujue mabomu yanaelekea kumuishia
Mange huwaga hana simile,
Sioni haja ya kumuonea huruma Dudu Baya eti atajidhuru. Hivi wale aliowataja bila hata ushahidi kuwa wanajihusisha na ushoga wana hali gani huko? Nimejaribu kufuatilia naona kabisa kuna tofauti kubwa sana.
 
tuna safari ndefu Magu ongeza mwendo
 
Makonda akimalizana na mashoga aanze na wanaume wambeya.


Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Wanaosema dawa ya moto ni moto sijui huwa wanamaanisha nini. Au wanamaanisha dawa ya shoga ni shoga?
 
Back
Top Bottom