The Hurricane
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 760
- 1,048
Jf raha sana..zero chillsWewe mda wa kufuatilia misutano ya wake kwa waume umeutoa wapi
Inaonekana umeshanaswa na kitambi ninDada gani wa taifa yule? Matako tu yule
Sioni haja ya kumuonea huruma Dudu Baya eti atajidhuru. Hivi wale aliowataja bila hata ushahidi kuwa wanajihusisha na ushoga wana hali gani huko? Nimejaribu kufuatilia naona kabisa kuna tofauti kubwa sana.Ukiona Mange anatishia hivyo ujue mabomu yanaelekea kumuishia
Mange huwaga hana simile,
Wanaosema dawa ya moto ni moto sijui huwa wanamaanisha nini. Au wanamaanisha dawa ya shoga ni shoga?Makonda akimalizana na mashoga aanze na wanaume wambeya.
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
le mutuz naona sikuhizi full id fekiππDada gani wa taifa yule? Matako tu yule
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Taifa zima tupo kimya tunafuatilia Pambano la Mlevi Na Kahaba!
I'm proud to be Tanzanian!
Wamuulize yule SheheKonkiiii master wenu anaenda kudhalilika wallah....laana ya Mange haijawahi kumwacha mtu salama, ukitaka kuamini haya waulize Wema na Bashite.....Ni watu wa huzuni na kulia lia tu media na makanisani....
ππππππ JF hiiKama hapo ndo hupendi umbeya, je ukiamua kuupenda itakuwaje?
Hivi nani kawahi kumshinda Mange? Yule dada kama wewe ni mtu maarufu sio wa kumchokoza achana nae,
KONKI LAZIMA AFUNZWE ADABU!Uzi mzima umejaa midume mimbeya. Mnampa kiki huyo mkimbizi kila bifu anaingilia mxiiiiewwww zake
Wewe umewezaje kumfollow kimavi?Hivi kuna mtu anaweza kabisa akamfollow Dudu!!
Kweli watu tunatofautiana aseee
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] we jamaa laana sanaa aiseeHaya yote amesababisha Amber Rooting,Tanzania tusingefikia uku.Tungekuwa tunawaza Flyover na Treni ya umeme.