Watoto wa THT wanaamini hivyo.Kuna anayeamini kuwa Ruge na Kusaga ni mungu?
Halafu bifu yake dhidi ya hiyo redio ni nini haswa?
Jay dee kafulia nyimbo zake za sasa bora zikatumike shambani kufukuzia nzige tu
Utakua unamzungumzia mtu mwingine na sio komando.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Sina wasiwasi na CLOUDS,nauhakika hiyo vita watashinda na kumtokomeza kabisa huyo dada.Mfa maji haishi kutapatapa...!!
#Tokea ifail ile movement strong ya wasanii(antivirus) na Sugu kuamua kuweka silaha chini kwa Ruge sitaki tena kusikia hizi harakati coz tunapotezeana mda tu kuwapa sapot then mkipewa mkwanja mnasurrender.
SWALI: Eti dada JIDE ulikuwa wapi sikuzote?

Mapenzi!!!!!!!!!
whaaaaaaaat?!
Mapenzi!!!!!!!!!
Jide alishasema kwamba kipindi cha nyuma alikuwa na mengi lakin uhalisia ulikuwa unambana..sababu alikuwa hawez kufungua mdomo coz hakuwa na mkwanja na hadhi aliyonayo..sasa hivi ana uwezo hata wa kufungua redio yake kwann aendelee kuwa kondoo?go bint machozi..a.k.a commando Jide,a.k.a Jesh la mwanamke mmoja.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums