Bifu la Lady jay Dee na clouds media linazidi

Bifu la Lady jay Dee na clouds media linazidi

Huyu dada alifanya kazi pale Clouds,
Mumewe pia,
Kwa utafiti wangu mdogo siku za nyuma Clouds walikuwa wakipiga sana nyimbo za JD pengine kuliko za msanii yeyote wa ndani na nje ya nchi,
Leo hii hawapigi nyimbo zake (hata zile alizoshirikishwa hawapigi sauti yake!)
Leo hii dada huyu analalama!

Naamini kuna KITU KIMEJIFICHA HAPA tuwaachie wenyewe wanajuana hawa!
 
Jide alishasema kwamba kipindi cha nyuma alikuwa na mengi lakin uhalisia ulikuwa unambana..sababu alikuwa hawez kufungua mdomo coz hakuwa na mkwanja na hadhi aliyonayo..sasa hivi ana uwezo hata wa kufungua redio yake kwann aendelee kuwa kondoo?go bint machoz..a.k.a commando Jide

duuh sikujua hili,so kumbe maskin hapaswi kudai haki yake hadi apate hela?Then,kufungua redio sio ishu,ishu ni je itafanikiwa kuteka raia km clouds?Studio alishindwa kuiendesha akaifunga sembuse redio?
 
Wamemtumia ndio kaja kujistukia now? hahahaha pole zake, zamani alikuwa ndio Munguz eh!
 
Mkuu hapo umenena... Ruge ameshamega sana hapo, sasa kinachotokea sasa ni WIVU WA MAPENZI... Mbona kipindi kile anamegwa hakukuwa na bifu...

kumbe ndo wale wa wivu sina ila roho inauma ha!ha! napita kama name yangu.........
 
2Q==
9k=
9k=
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images



huyo ndio ruge mwengine feki
 
akumbuke ruge ndio aliemtoa kupitia smooth vibe
 
Kuna anayeamini kuwa Ruge na Kusaga ni mungu?

Halafu bifu yake dhidi ya hiyo redio ni nini haswa?


kapokonywa tonge mdomoni kama Sugu uku deal imeshamachua,ishu ya kipesa zaidi....wala sio kupigiwa nyimbo zake kama wapumbavu waliopita wanavyosema.
 
redio hii ndo inadidimiza wasanii JD komaa 2 mama mapinduzi huwa hayaletwi na jopo la watu kama ipo ipo tu utafanikiwa mabwiga wanaoponda achana nao
 
clouds hawajamjibu ila they take reaction kimya kimya...wameweka tangazo mjengon kwao...ni marufuku kupiga nyimbo za jide,kumuongelea,wala tangazo lolote lililofanywa na gadner..yaan chochote kinachohusu jide na mumewe..ni marufuku kusikika clouds....hata peter mo pia hapigi grooveback tena nyumbani lounge......sie watazamaji tuone mwisho wake itakuwaje
 
Back
Top Bottom