Wewe unaamini hao ni miungu?Kuna anayeamini kuwa Ruge na Kusaga ni mungu?
Halafu bifu yake dhidi ya hiyo redio ni nini haswa?
thibitisha hapa kama ant virus imefail
Jide alishasema kwamba kipindi cha nyuma alikuwa na mengi lakin uhalisia ulikuwa unambana..sababu alikuwa hawez kufungua mdomo coz hakuwa na mkwanja na hadhi aliyonayo..sasa hivi ana uwezo hata wa kufungua redio yake kwann aendelee kuwa kondoo?go bint machoz..a.k.a commando Jide
duuh sikujua hili,so kumbe maskin hapaswi kudai haki yake hadi apate hela?Then,kufungua redio sio ishu,ishu ni je itafanikiwa kuteka raia km clouds?Studio alishindwa kuiendesha akaifunga sembuse redio?
Mkuu hapo umenena... Ruge ameshamega sana hapo, sasa kinachotokea sasa ni WIVU WA MAPENZI... Mbona kipindi kile anamegwa hakukuwa na bifu...
kumbe
ndo wale wa wivu sina ila roho inauma ha!ha! napita kama name
yangu.........
Kuna anayeamini kuwa Ruge na Kusaga ni mungu?
Halafu bifu yake dhidi ya hiyo redio ni nini haswa?
Uzi wa 2013 unakuja kusema hatari 2019