Bifu la Lulu, Hamisa: Mange amlipua Majizo

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Lile bifu linolotikisa kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa, linalowahusisha mastaa wenye mvuto wa aina yake bongo, namzungumzia Hamisa mobeto (I phone) na lulu michael (Techno) limefikia mahali pabaya.

Ambapo hivi karibuni mwana mama mwenye vituko vya aina yake aishiye Marekani aitwaye Mange Kimambi amemlipua mwanaume anayedaiwa kuwagombanisha Lulu na staa aitwaye Majizo kuwa ni muuza mada ya kulevya maarufu hapa mjini na ana pesa chafu sana inayowazuzua warembo hao mpaka kufikia hatua ya kuchafuana mitandaoni.

Either mwana mama huyo ameahidi kuanika siri za mwanaume huyo ambaye anasadikika kuwa na utajiri wa kutisha ukilinganisha na umri wake mdogo.
 
Women with beauty and no brains, their your private parts suffer the most. ( President Mugabe)
 
masikini hamisa alijua kapata kumbe kapatikana, ila eliza akae akijua what goes around comes around huyo bwana kunguru hafugiki sijui anataka kuvunja record ya yule wa mitego kwa kuwa na watoto wa mama tofauti tofauti
 
masikini hamisa alijua kapata kumbe kapatikana, ila eliza akae akijua what goes around comes around huyo bwana kunguru hafugiki sijui anataka kuvunja record ya yule wa mitego kwa kuwa na watoto wa mama tofauti tofauti
Kwakweli what goes around.... Hata hamisa alimchukua majizo kwa shoga ake
 
Huyo Mange naye bana....ye kwake kila mtu ni muuza madawa ya kulevya tu.

Halafu hamna ushahidi wala nini.....ni maneno tu kuwa flani na flani wanauza madawa ya kulevya, basi.

Ndo maana na yeye wapumbavu wenzie wakadai katalikiana na mumewe bila kuweka ushahidi wowote ule zaidi ya maneno.

But because they are all incredibly stupid, they don't even realize that saying it so doesn't ever make it so.

Yaani hao wauza madawa wote wanaodaiwa kuwa wanauza....law enforcement wameshindwa hata kufanya sting operation na kuwa bust red handed?

Imbeciles.......
 
Ila kama kweli Mh magu ulisema utapambana nao au bado mapema?
 

Attachments

  • 1464760668908.jpg
    55.4 KB · Views: 800
  • 1464760678931.jpg
    77.3 KB · Views: 451
  • 1464760692163.jpg
    67 KB · Views: 400
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…