warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Lile bifu linolotikisa kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa, linalowahusisha mastaa wenye mvuto wa aina yake bongo, namzungumzia Hamisa mobeto (I phone) na lulu michael (Techno) limefikia mahali pabaya.
Ambapo hivi karibuni mwana mama mwenye vituko vya aina yake aishiye Marekani aitwaye Mange Kimambi amemlipua mwanaume anayedaiwa kuwagombanisha Lulu na staa aitwaye Majizo kuwa ni muuza mada ya kulevya maarufu hapa mjini na ana pesa chafu sana inayowazuzua warembo hao mpaka kufikia hatua ya kuchafuana mitandaoni.
Either mwana mama huyo ameahidi kuanika siri za mwanaume huyo ambaye anasadikika kuwa na utajiri wa kutisha ukilinganisha na umri wake mdogo.