Bifu la Lulu, Hamisa: Mange amlipua Majizo

Mange akamjibu hvi
 

Attachments

  • 1464760924329.jpg
    47.7 KB · Views: 163
  • 1464760932718.jpg
    80.3 KB · Views: 151
  • 1464760941438.jpg
    73.3 KB · Views: 148
Watoto wzuri wameamua kuwa kioo cha ngono kwa mabinti wadogo, mweee maskini jamani. Kweli ule mstari tukufu kwenye vitabu vya dini ni wa kuwaimbisha sana watoto kila waamkapo na walalapo, 'ishike sana elimu usimuache aende" . Hawa mabinti wangekuwa wameelimika wanajishughulisha kiakili bila kuangalia maumbile yao kamwe wasinge kubali kuwa viburudisho.
 
fainali uzeeni kama watafika huko uzeeni
 
fainali uzeeni kama watafika huko uzeeni
Hawajifunzi hawa, dada yao sepetunga nowa kaanza kupanda bajaji wao hawajiongezi tu?! Yule mwingine ndio kapotea kabisa kwenye huo ulimwengu wao wa kumegwa sijui yuko wapi? Jini kabula na mr.chuzi wao.
 
Kama wanagombea KUFUNULIWA basi tukione wanachonufaika nacho,kama wanajifanya wamekolewa na "dudu" wakimwagwa wasije kutuambia "bajaji ni usafiri kama usafiri mwingine" wakati kabla ya hapo ulikuwa unajisifu kwa kuwa na Range.
 
Majizo ni mpiganaji namkubali huyo Mange aache wivu kwa waliofanikiwa njia alizopita Majay zipo very clear... Sema nini Majizo umeshakuwa CEO punguza usela piga ishu zako kimya kimya.
Kimya kimya ndio mpango.
 
Mange huyo needs kah kwake 2005 alinitukana see nilijihisi kuzimia n.a. kunenepa aisee hahahaha yani anamatusi hadi shetani anayakubali hahaha
 
Huyu Mange huyu daah le mbebez anachambwaje kule mmh
 
Mange is s...pid. Simjui huyu mwanamama, wala huyo Majizo, Lulu or Hamisa. Nawasoma tu kwenye mitandao. But huyu the so called Mange nadhani ana matatizo kichwani. Binadamu gani unakaa kwenye mitandao masaa yote kuwashambulia wenzio? Hivi kichwa chake ni kizima kweli?? Inawezekana vipi binadamu mwenye akili timamu kila mtu kwenye sayari hii ya Mungu awe mbaya kwako??? Sijawahi kumsoma huyu Mama hata siku moja akimsifia mtu??? Yeye kazi yake ni kudhalilisha na kutukana tu?? Na hata ikitokea akakusifia kidogo basi jiandae maana kitakachofuata ni kudhalilishwa na kutukanwa vibaya mno.
Halafu ukimjibu kwa kumtoa kasoro anaku-block. Yeye anachotaka ni kusifiwa tu. Namuonea huruma sana huyo Mzungu aliyeokota huyu mama akamuoa.
Ukiingia kwenye instagram yake, kazi kubwa aliyo nayo ni kumdhalilisha Rais wetu JPM. Halafu cha ajabu huyo huyo Mange alipambana kumpigia kampeni ya kufa mtu. Sasa iweje tena leo unamdhalilisha kiasi hicho. Au kampeni zako ilikuwa kulipa kisasi kwa mtu???? Nani mzuri kwako Mange?? MKAPA, KIKWETE NA MWANAE RIDHIWANI, LOWASA, NAPE, JANUARY MAKAMBA, RAIS WETU MAGUFULI na wengine wengi wote wabaya !!! Marafiki zako wengine wa toka utotoni wote wabaya!! Tukueleweje? Mimi nadhani wewe unastahili kuishi msituni na wanyama maana binadamu wenzio wote wabaya kwako.
Mange naomba ukome kabisa kuendelea kumshambulia Rais wetu. Ulimuonea Kikwete tukakaa kimya, sasa umeanzana na Magufuli. Koma kabisa we Mama, Tena umuache afanye kazi yake kwa utulivu. Ninakuambia Mange yote unayojifanya eti unafungua watu macho ujue kuwa sisi si vipofu. Kipofu ni wewe na unatakiwa ukatibiwe akili na huo upofu ulio nao. Tulia lea watoto wako acha uchonganishi. Ninarudia tena kukuambia Mange hutokaa ufanikiwe kutuchonganisha na Rais wetu. Unapoteza nguvu na muda wako bure. Nafikiri ingependeza kama ungejishughulisha na Trump ambaye siku akichukua USA utakiona cha moto na huo mdomo wako mchafu.
Mange kwa jina YESU ushindwe na ulegee!!!!!!!!
 

Hata mimi mwanzon niliku namchukia sana mange, ila endelea kumfuatilia tu kwa karibu baadae utamuelewa....Mange huwa hasemagi uongo ila tu ni mropokaji, endelea kumfuatilia tu utaelewa ninachokwambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…