Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi hawa mastar ni watamu sana eehh maana si kupapatikiwa hivi.Kwakweli what goes around.... Hata hamisa alimchukua majizo kwa shoga ake
fainali uzeeni kama watafika huko uzeeniWatoto wzuri wameamua kuwa kioo cha ngono kwa mabinti wadogo, mweee maskini jamani. Kweli ule mstari tukufu kwenye vitabu vya dini ni wa kuwaimbisha sana watoto kila waamkapo na walalapo, 'ishike sana elimu usimuache aende" . Hawa mabinti wangekuwa wameelimika wanajishughulisha kiakili bila kuangalia maumbile yao kamwe wasinge kubali kuwa viburudisho.
Hawajifunzi hawa, dada yao sepetunga nowa kaanza kupanda bajaji wao hawajiongezi tu?! Yule mwingine ndio kapotea kabisa kwenye huo ulimwengu wao wa kumegwa sijui yuko wapi? Jini kabula na mr.chuzi wao.fainali uzeeni kama watafika huko uzeeni
Hahaaaaaaaaa poyeeeeNimejaribu kuacha umbea nimeshindwa warumi mimi, nimerudi rasmi kwenye kiti changu tukufu
Nilichoambulia ni downtown apartment..Mange akamjibu hvi
Huo ugomvi na nameless girl.Huyu jamaa nae badala achukue mwanamke asiekuwa na Jina atulie nae anawachukua hawa ambao wanampa skendo chafu tu..
Mbona mwenzie Cloud anapiga Kimya Kimya.
Kimya kimya ndio mpango.Majizo ni mpiganaji namkubali huyo Mange aache wivu kwa waliofanikiwa njia alizopita Majay zipo very clear... Sema nini Majizo umeshakuwa CEO punguza usela piga ishu zako kimya kimya.
Mange is s...pid. Simjui huyu mwanamama, wala huyo Majizo, Lulu or Hamisa. Nawasoma tu kwenye mitandao. But huyu the so called Mange nadhani ana matatizo kichwani. Binadamu gani unakaa kwenye mitandao masaa yote kuwashambulia wenzio? Hivi kichwa chake ni kizima kweli?? Inawezekana vipi binadamu mwenye akili timamu kila mtu kwenye sayari hii ya Mungu awe mbaya kwako??? Sijawahi kumsoma huyu Mama hata siku moja akimsifia mtu??? Yeye kazi yake ni kudhalilisha na kutukana tu?? Na hata ikitokea akakusifia kidogo basi jiandae maana kitakachofuata ni kudhalilishwa na kutukanwa vibaya mno.
Halafu ukimjibu kwa kumtoa kasoro anaku-block. Yeye anachotaka ni kusifiwa tu. Namuonea huruma sana huyo Mzungu aliyeokota huyu mama akamuoa.
Ukiingia kwenye instagram yake, kazi kubwa aliyo nayo ni kumdhalilisha Rais wetu JPM. Halafu cha ajabu huyo huyo Mange alipambana kumpigia kampeni ya kufa mtu. Sasa iweje tena leo unamdhalilisha kiasi hicho. Au kampeni zako ilikuwa kulipa kisasi kwa mtu???? Nani mzuri kwako Mange?? MKAPA, KIKWETE NA MWANAE RIDHIWANI, LOWASA, NAPE, JANUARY MAKAMBA, RAIS WETU MAGUFULI na wengine wengi wote wabaya !!! Marafiki zako wengine wa toka utotoni wote wabaya!! Tukueleweje? Mimi nadhani wewe unastahili kuishi msituni na wanyama maana binadamu wenzio wote wabaya kwako.
Mange naomba ukome kabisa kuendelea kumshambulia Rais wetu. Ulimuonea Kikwete tukakaa kimya, sasa umeanzana na Magufuli. Koma kabisa we Mama, Tena umuache afanye kazi yake kwa utulivu. Ninakuambia Mange yote unayojifanya eti unafungua watu macho ujue kuwa sisi si vipofu. Kipofu ni wewe na unatakiwa ukatibiwe akili na huo upofu ulio nao. Tulia lea watoto wako acha uchonganishi. Ninarudia tena kukuambia Mange hutokaa ufanikiwe kutuchonganisha na Rais wetu. Unapoteza nguvu na muda wako bure. Nafikiri ingependeza kama ungejishughulisha na Trump ambaye siku akichukua USA utakiona cha moto na huo mdomo wako mchafu.
Mange kwa jina YESU ushindwe na ulegee!!!!!!!!