Inakufundisha ukitaka kuishi miaka mingi kuwa mbea.. Babu zako waliohai na vizee vyote mtaani kwenu ni vimbea ndio maana wameishi miaka mingi..[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hadithi hii inatufundisha nini!!?
Kuna msemo ndege wafafanao ndio warukao pamojaNiliwahi kujiuliza huyu Majizo mbona kawa mcharo gafla,
Kumbe ni le ungaz?
[emoji85] [emoji85] [emoji85] mange ni hatari aisee
Hahaaa... Ulipotelea wapi?? Tulimiss umbeaNimejaribu kuacha umbea nimeshindwa warumi mimi, nimerudi rasmi kwenye kiti changu tukufu
Hata kwa maombi vimefeli? Haya kaa mama.Nimejaribu kuacha umbea nimeshindwa warumi mimi, nimerudi rasmi kwenye kiti changu tukufu
Wala si utani maana wanatema sumu ila wengine wanabaki nayo na ina wadhuru.Wambea huishi miaka mingi kwa mujibu wa watafiti.
Hekima za Suleiman(Mithali)Watoto wzuri wameamua kuwa kioo cha ngono kwa mabinti wadogo, mweee maskini jamani. Kweli ule mstari tukufu kwenye vitabu vya dini ni wa kuwaimbisha sana watoto kila waamkapo na walalapo, 'ishike sana elimu usimuache aende" . Hawa mabinti wangekuwa wameelimika wanajishughulisha kiakili bila kuangalia maumbile yao kamwe wasinge kubali kuwa viburudisho.
Kwani una kamovie kokote ulitokezea au Kasingle uliko sikika? ndio magulio yenyewe hayo.hivi hawa mastar ni watamu sana eehh maana si kupapatikiwa hivi.
Lile bifu linolotikisa kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa, linalowahusisha mastaa wenye mvuto wa aina yake bongo, namzungumzia Hamisa mobeto (I phone) na lulu michael (Techno) limefikia mahali pabaya.
Ambapo hivi karibuni mwana mama mwenye vituko vya aina yake aishiye Marekani aitwaye Mange Kimambi amemlipua mwanaume anayedaiwa kuwagombanisha Lulu na staa aitwaye Majizo kuwa ni muuza mada ya kulevya maarufu hapa mjini na ana pesa chafu sana inayowazuzua warembo hao mpaka kufikia hatua ya kuchafuana mitandaoni.
Either mwana mama huyo ameahidi kuanika siri za mwanaume huyo ambaye anasadikika kuwa na utajiri wa kutisha ukilinganisha na umri wake mdogo.
Nini hasa overused?duuh kweli wakubwa na wajanja wanafaidi
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Wafute make up kwanza ndio tutoe maksi