Bifu la Lulu, Hamisa: Mange amlipua Majizo

Bifu la Lulu, Hamisa: Mange amlipua Majizo

Mimi mwenyewe namkubali sana kila Sikh lazima nipate post zake
 
d18b0ba786e29b41362353eaa66edd16.jpg
 
Binafsi nimependa na utetezi wake. ...yani kuna dhana mbaya Tanzania mtu akitoboa basi muuza madawa.
 
Niliwahi kujiuliza huyu Majizo mbona kawa mcharo gafla,
Kumbe ni le ungaz?
 
Watoto wzuri wameamua kuwa kioo cha ngono kwa mabinti wadogo, mweee maskini jamani. Kweli ule mstari tukufu kwenye vitabu vya dini ni wa kuwaimbisha sana watoto kila waamkapo na walalapo, 'ishike sana elimu usimuache aende" . Hawa mabinti wangekuwa wameelimika wanajishughulisha kiakili bila kuangalia maumbile yao kamwe wasinge kubali kuwa viburudisho.
Hekima za Suleiman(Mithali)
 
Lile bifu linolotikisa kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa, linalowahusisha mastaa wenye mvuto wa aina yake bongo, namzungumzia Hamisa mobeto (I phone) na lulu michael (Techno) limefikia mahali pabaya.

Ambapo hivi karibuni mwana mama mwenye vituko vya aina yake aishiye Marekani aitwaye Mange Kimambi amemlipua mwanaume anayedaiwa kuwagombanisha Lulu na staa aitwaye Majizo kuwa ni muuza mada ya kulevya maarufu hapa mjini na ana pesa chafu sana inayowazuzua warembo hao mpaka kufikia hatua ya kuchafuana mitandaoni.

Either mwana mama huyo ameahidi kuanika siri za mwanaume huyo ambaye anasadikika kuwa na utajiri wa kutisha ukilinganisha na umri wake mdogo.


Tanzania kila kijana anajitoa muhanga kuuza pipi chafu, akipata pesa anafikiria kuchafua madada wasiojitambua kiasi kwamba mpaka wanafikia kuchafuana kugombania pumbu huku mwenye pumbu za umma akiwacheka. Mwanamke asiyejitambua will always fight for a guy hata kama akijuwa jamaa ni kicheche, yeye anachotaka tu ni kutunzwa na kujitapa kwa wenzake. Time has come for mademu wa kibongo kujitambua, kwa kweli wanatia kichefuchefu.
 
Yaani wanamuita Lulu Sijui techno sijui nini angekuwa yupo chini hivyo na katika kumudu mwanaume na kuhudumia unafikiri wangewaacha walionao...mtoto na damu ya kule nayo ni balaa, amefundwa vizuri...wengi inabidi wamuulize wajifunze na sio kumkejeli...
 
Back
Top Bottom