Bifu la Lulu, Hamisa: Mange amlipua Majizo

Lemutuz rafiki. Kimambi yupo kazini na ndio kaziyake na analipwa pesa na....... Na yupo kwenye vitabu vya.......... Na Kama huwamini amesha andila na hakuna wakumgusa isipokuwa lemutuzi ambaye pia aweza kuwa.......... Big up team
 
Poa ngabu

Ngoja nistue antena za wapenda umbea kidogo...

Sifa kwa mola wangu maulana..
Kwa mengi aliyofanya..
Hadi mi na wewe kukutana [kisura]..

Sijapanga kudanganya..
Nasema ukweli mama..
Kisa nakupenda sana [kisura]..

Unasema unanipenda..
Ila maisha yangu maseke..
Michicha milenda..
Ndo menyu yangu na ya kuku mateke..

Yani chenga..
Kila siku kilio salini nicheke..
Sina tenda..
Ugali buguruni mboga temeke..
 


Niache nifanye kusudi
Ikibidi nifanye kufuru
Wanitangaze hata sana
Kwani mi ninavyokupenda mwingine hakuna
Umenifunga gamba cha chini cha sunna
Umeniniganda ganda baridi hakuna
Mtundu wa kitanda ah
Na lako jaramba ah


Mi nasema sikuachi
Nakaba mpaka penati
Kwa utamu wa nanasi
Naufyonza mpaka basi
Mi nasema sikuachi
Nakaba mpaka penati
Kwa utamu wa nanasi
Naufyonza mpaka basi

Ngabu wangu
Acha kusema waseme wala sijali
Haya yako masebene mie sichezi mbali


Nawararua rarua, nawararua
Nawararua rarua, nawararua
Nawararua rarua, nawararua
Nawararua, rarua, rarua, rarua


Nimelamba utamu wa peremende
Kanifunga kabisa na kwao twende
Akanipe vya pwani; harua, tende
Kweli, nimesema simwachi
Nakaba mpaka penati
Nitabeba hata pochi
Nitalipie na cash
Ninasifiwa kupetipeti, sijasifiwa kuvaa
Mi napuliza japo kuna net, penzi lizidi kung’aa


Hapo vepe my Ngabu
 

Hahaahaaa hapo safi....sasa subiri kukiona cha mtema kuni toka kwa Spartakas πŸ˜€πŸ˜€
 
Nimejaribu kuacha umbea nimeshindwa warumi mimi, nimerudi rasmi kwenye kiti changu tukufu

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ umbea ni kama maji, usipoyanywa.................πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Inatufundisha wanawake sio watu wa kuwaambia Siri zako especially zile za hatari...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…