Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo Dina....?
Binamu umeadimikia wapi aiseeh??
Nimekumiss sana binamu.karibu utetee kiti chako.Nimejaribu kuacha umbea nimeshindwa warumi mimi, nimerudi rasmi kwenye kiti changu tukufu
Poa ngabu
Ngoja nistue antena za wapenda umbea kidogo...
Sifa kwa mola wangu maulana..
Kwa mengi aliyofanya..
Hadi mi na wewe kukutana [kisura]..
Sijapanga kudanganya..
Nasema ukweli mama..
Kisa nakupenda sana [kisura]..
Unasema unanipenda..
Ila maisha yangu maseke..
Michicha milenda..
Ndo menyu yangu na ya kuku mateke..
Yani chenga..
Kila siku kilio salini nicheke..
Sina tenda..
Ugali buguruni mboga temeke..
Niache nifanye kusudi
Ikibidi nifanye kufuru
Wanitangaze hata sana
Kwani mi ninavyokupenda mwingine hakuna
Umenifunga gamba cha chini cha sunna
Umeniniganda ganda baridi hakuna
Mtundu wa kitanda ah
Na lako jaramba ah
Mi nasema sikuachi
Nakaba mpaka penati
Kwa utamu wa nanasi
Naufyonza mpaka basi
Mi nasema sikuachi
Nakaba mpaka penati
Kwa utamu wa nanasi
Naufyonza mpaka basi
Ngabu wangu
Acha kusema waseme wala sijali
Haya yako masebene mie sichezi mbali
Nawararua rarua, nawararua
Nawararua rarua, nawararua
Nawararua rarua, nawararua
Nawararua, rarua, rarua, rarua
Nimelamba utamu wa peremende
Kanifunga kabisa na kwao twende
Akanipe vya pwani; harua, tende
Kweli, nimesema simwachi
Nakaba mpaka penati
Nitabeba hata pochi
Nitalipie na cash
Ninasifiwa kupetipeti, sijasifiwa kuvaa
Mi napuliza japo kuna net, penzi lizidi kung’aa
Hapo vepe my Ngabu
He he he he he hey he hey hatari[emoji14]
Women with beauty and no brains, their your private parts suffer the most. ( President Mugabe)
![]()
![]()
![]()
![]()
Inatufundisha kuwa warembo wasio na ajira rasmi huishia kuwa chakula ya wauza unga na mapedeshee.
Nimejaribu kuacha umbea nimeshindwa warumi mimi, nimerudi rasmi kwenye kiti changu tukufu
Inatufundisha wanawake sio watu wa kuwaambia Siri zako especially zile za hatari...Lile bifu linolotikisa kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa, linalowahusisha mastaa wenye mvuto wa aina yake bongo, namzungumzia Hamisa mobeto (I phone) na lulu michael (Techno) limefikia mahali pabaya.
Ambapo hivi karibuni mwana mama mwenye vituko vya aina yake aishiye Marekani aitwaye Mange Kimambi amemlipua mwanaume anayedaiwa kuwagombanisha Lulu na staa aitwaye Majizo kuwa ni muuza mada ya kulevya maarufu hapa mjini na ana pesa chafu sana inayowazuzua warembo hao mpaka kufikia hatua ya kuchafuana mitandaoni.
Either mwana mama huyo ameahidi kuanika siri za mwanaume huyo ambaye anasadikika kuwa na utajiri wa kutisha ukilinganisha na umri wake mdogo.
Kwasababu imethibitishwa?Mange alikuwa kweli kuhusu majizo