Bifu la Lulu na Husna lapamba moto

Bifu la Lulu na Husna lapamba moto

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Lile bifu lililowahi kutokea kati ya muigizaji maarufu, Lulu Michael na video queen maarufu nchini Husna Maulid limeingia ukurusa mpya, ambapo ivi sasa muigizaji huyo ameibuka hadharani na kumtaka hasimu wake huyo kukaa mbali na yeye kwani hamuwezi kwa lolote. Chanzo cha bifu ni mwanaume ambaye awali alikuwa akitoka na Husna na baadae muigizaji huyo kumpiku rafiki yake, ambapo aliiba namba ya mwanaume huyo na kuanza kujitongozesha...

Msikilize Lulu chini;

"Haya haya... Mwenzenu uswahili niliacha sema naomba leo niuridie kdgo ️na Tafadhali kwa ndugu, jamaa, Marafiki ️na yyte. Mwenye uwezo wa kumfikia Mtu anaitwa HUSNA MAULIDI mtanisaidia ku munch ️na kumfikishia huu ujumbe....

ANGALIZO: Post hii itakaa kwa dk5 tu....sihiitaji Post Virus in my New n fresh Page...!

Mwambieni na YEYE nilishamwambia ANIACHE mana inaonekana hawezi kukaa muda bila kunitaja au kuniongelea..!
️Ni hivi huu ni mwaka wa pili probably umekuwa UNAONGEA SANA on social media Lkn mm Nakaa kimya...Sio mjinga mwenzio...nakuepuka usijekuwa unatafuta pa kufia bureee...2nd stop competing wth me shooo tuko tofaaaaaaaaaautiiiiii my friend������
Hivi ushangai mtu hana Muda ️na ww LKN we hakukauki mdomoni..!

Me sikutukani ila naomba ujumbe ukifie tu....ungefanya kama hujawahi kuniona wala kunijua tokea umezaliwa mana me nishafanikiwa kwa hilo.. hakuna kipengele ulichobaki kwenye akili yangu hata kwa bahati mbaya..! I thnk ukiacha kutafuta Kiki za kisen** kupitia mm bdo utakuwa wewe tu n nothing will change...! Oky bi dada

Angalizo: Sio kama sijui matusi na maneno ya shombo ninayo pia ila nimeamua kutumia Busara tu...!"

Aliandika staa huyo kwenye ukurasa wake wa instagram.
 

Attachments

  • 1433095299043.jpg
    1433095299043.jpg
    26.1 KB · Views: 4,102
  • 1433095904833.jpg
    1433095904833.jpg
    76.8 KB · Views: 2,436
"Nakuepuka usije kua unatafuta pa kufia bure"kwa kazi yako unayoendelea nayo hata mi namshaur husna akae pemben.
 
Hivi huyu lulu aliwahikupigw.a m.ti na age mate wake kweli....
 
"Nakuepuka usije kua unatafuta pa kufia bure"kwa kazi yako unayoendelea nayo hata mi namshaur husna akae pemben.
Najiuliza tu kama alijiuliza mara mbili wakati anaandika hiyo statement uliyom-quote
 
Halafu kumbe mama lulu na mwanae humpigia simu husna???
Ama kweli maajabu hayawezi isha duniani
 
huyu Lulu ananiboa yani sijui IG kwake ni nini...kamerudi kwa kasi hashuo kibao yani mkavu hana aibu! kweli hiki kitoto kimeishi abnormal childhood so we r expecting worse than already seen mweeeh puuuuu
 
"Nakuepuka usije kua unatafuta pa kufia bure"kwa kazi yako unayoendelea nayo hata mi namshaur husna akae pemben.

Kabisa yani, bora ukutane na UKIMWI utapata muda wa kutubu kuliko kukutana na LuLu ze iziraili.
 
warumi tunaomba updates jaman....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom