Bifu la Lulu na Mange

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Hii vita vya Lulu na Mange naona inamcost sana Majizzo. Ni ukweli usiopingika kuwa Mange anaishi USA lakini hana maisha kama anayoishi Lulu Tz. Lulu ni mtoto mdogo sana kwa Mange lakini kampiga bao Mange kimaisha ndio maana Mange anaweweseka kutwa na Majizzo, anajua anampa jeuri Lulu.

Naona anajaribu kufanya kila mbinu akishirikiana na wabaya wa Lulu na Majizzo kumpoteza kabisa Majizzo jambo ambalo amefanikiwa kwa asilimia 10.

Lulu unaambiwa sasa hivi hana raha kutwa full stress. Alijisemea Lemutuz Mange ana spirit ya Jezebel, ana nguvu kubwa sana ya ziada, nguvu ya maangamizi, nguvu ya kuteka akili za watu, nguvu za giza naweza kusema.

Lulu ujiandae mapema, maana Majizzo akitoka polisi hawezi tena kuwa na Lulu,usiulize kwa nini. Huu umbea wa familia, ubuyu exclusive [emoji2][emoji23][emoji23]
 


Ana Gundu Lulu, kama mwanaume anaekua nae hajafa basi anakumbwa na majanga kama hivyo majizo
 
Lulu wuuwuuuuu

Amka mamaaaa

Kumekucha co ucku
 
Reactions: dtj
Hahahaha sio kweli mange amekua shida TZ alafu yeye anaishi marekani social network balaa
 

Warumi ktk ubora wake. Bado hance mtanashati nae aje Na ubuyu wa tunda
 
Ivi kwanini kila Mwanaume anaetoka na Lulu Lazima akutane na majanga??
 
Lulu anakosea jambo 1 tu,angeyaweka mapenzi yake sirini kama ilivyokuwa kwa marehemu Kanumba.
Kujishaua mashauzi kibao tena mtu mwenyewe ndio huyo vyanzo vya fedha mashaka matupu ni risk.

Mapenzi ya wazi atuachie anonymous
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Lulu kila mti anaojitahidi kushika unateleza...

Kanumba alivuta.

Kapteni mbunge wetu naye akavuta.

Majizo naye ataozea selo...

Lulu ana nini Lulu??
Ngoja lulu akusikie


Ila warumi... huyo mmiliki wa redio yupo ndani au nje????? Sidhani kama kuna bifu kati ya mange na luku...la sivyo mange angemchamba lulu live na lulu alivyo na majibu ya mwendokasi lazima angetuachia ibuyi insta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…