PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Duh!!![emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]Ana Gundu Lulu, kama mwanaume anaekua nae hajafa basi anakumbwa na majanga kama hivyo majizo, kuna madem ni mapepo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!!![emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]Ana Gundu Lulu, kama mwanaume anaekua nae hajafa basi anakumbwa na majanga kama hivyo majizo, kuna madem ni mapepo
alisema kasha riport polisi kama kuna kiba kitacho mtokea serekali ya marekani italala na muhusika mbeleNa juzi kamtaja Manji kesho yake Makonda karuka naye.
Kuna siku mtu atampandia mbuyu amtikise huko huko Marekani.
Serikali ya marekani haijui...yeye sio mmarekani..alisema kasha riport polisi kama kuna kiba kitacho mtokea serekali ya marekani italala na muhusika mbele
Mpaka Mwaka kahamia south Africa,Mange mpaka ikulu wanamsomaYaan mange anainfluence na mambo mengi ya hapa bongo utadhan yupo hapa bongo vile. Kumbuka kilichomkuta dr. Mwaka
Huyo huyo hamisa aliingia kwa majizo baada ya mwanamke anayetangaza five gear clouds kuzaa nae na majizo. Mwenye kisu kikal ndio mla nyama hapoNdiyo wanaume wajifunze, Majizzo kamuacha hamissa aliezaa nae kakimbilia kwa Lulu matokeo yake mikosi hiyo.
Kale kembamba?Huyo huyo hamisa aliingia kwa majizo baada ya mwanamke anayetangaza five gear clouds kuzaa nae na majizo. Mwenye kisu kikal ndio mla nyama hapo
Hiyo ni ndoto don't compare marekani na usariver muongelee mange but marekani homeless wananguvu sawa na tax payers....Serikali ya marekani haijui...yeye sio mmarekani..
Kuna watu wana nguvu ya kumshtaki na kumchukulia hatua akiwa huko huko marekani...
Hapo ndo alipobugi step kudhani mtu kama Manji hana uwezo wa kumfungulia kesi ya jinai na madai huko huko marekani [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
umemsahau milionea seky...naye alifariki ghafla tena siku ya birthday ya luluLulu kila mti anaojitahidi kushika unateleza...
Kanumba alivuta.
Kapteni mbunge wetu naye akavuta.
Majizo naye ataozea selo...
Lulu ana nini Lulu??
Ohoooo!!![emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]umemsahau milionea seky...naye alifariki ghafla tena siku ya birthday ya lulu
Jux sio gundu.yeye mwenyewe anahusika na hizo ishu ndo maaana na mademu zake wanakuwa wa dizaini hyo.Lulu sawa tu na jux
Sema jux yy fan yake wauza/wala ngada
Wabugia ungaz[emoji1] [emoji1]
mpaka huu mwaka uishe tutakua tumeona mengiHii vita vya Lulu na Mange naona inamcost sana Majizzo. Ni ukweli usiopingika kuwa Mange anaishi USA lakini hana maisha kama anayoishi Lulu Tz. Lulu ni mtoto mdogo sana kwa Mange lakini kampiga bao Mange kimaisha ndio maana Mange anaweweseka kutwa na Majizzo, anajua anampa jeuri Lulu.
Naona anajaribu kufanya kila mbinu akishirikiana na wabaya wa Lulu na Majizzo kumpoteza kabisa Majizzo jambo ambalo amefanikiwa kwa asilimia 10.
Lulu unaambiwa sasa hivi hana raha kutwa full stress. Alijisemea Lemutuz Mange ana spirit ya Jezebel, ana nguvu kubwa sana ya ziada, nguvu ya maangamizi, nguvu ya kuteka akili za watu, nguvu za giza naweza kusema.
Lulu ujiandae mapema, maana Majizzo akitoka polisi hawezi tena kuwa na Lulu,usiulize kwa nini. Huu umbea wa familia, ubuyu exclusive [emoji2][emoji23][emoji23]
Ungejua sababu ya kuachwa usingeongeaNdiyo wanaume wajifunze, Majizzo kamuacha hamissa aliezaa nae kakimbilia kwa Lulu matokeo yake mikosi hiyo.
Lulu alikuwa na Majizzo kabla hata ya kanumbaHuyo huyo hamisa aliingia kwa majizo baada ya mwanamke anayetangaza five gear clouds kuzaa nae na majizo. Mwenye kisu kikal ndio mla nyama hapo
Mhhhhhhhh hii ni mpya tena,hebu tudadavulie ubuyu mkuu [emoji39]Lulu alikuwa na Majizzo kabla hata ya kanumba
Unaonekana wayajua mengi weye?Tumegee wenzio mkuu.Ungejua sababu ya kuachwa usingeongea
Unapotaja Ubuyu ndo nakumbuka kuwa Nifah anahusika hapaHii vita vya Lulu na Mange naona inamcost sana Majizzo. Ni ukweli usiopingika kuwa Mange anaishi USA lakini hana maisha kama anayoishi Lulu Tz. Lulu ni mtoto mdogo sana kwa Mange lakini kampiga bao Mange kimaisha ndio maana Mange anaweweseka kutwa na Majizzo, anajua anampa jeuri Lulu.
Naona anajaribu kufanya kila mbinu akishirikiana na wabaya wa Lulu na Majizzo kumpoteza kabisa Majizzo jambo ambalo amefanikiwa kwa asilimia 10.
Lulu unaambiwa sasa hivi hana raha kutwa full stress. Alijisemea Lemutuz Mange ana spirit ya Jezebel, ana nguvu kubwa sana ya ziada, nguvu ya maangamizi, nguvu ya kuteka akili za watu, nguvu za giza naweza kusema.
Lulu ujiandae mapema, maana Majizzo akitoka polisi hawezi tena kuwa na Lulu,usiulize kwa nini. Huu umbea wa familia, ubuyu exclusive [emoji2][emoji23][emoji23]
Hivi Majizzo kazaa na Zuhura?[emoji15]Huyo huyo hamisa aliingia kwa majizo baada ya mwanamke anayetangaza five gear clouds kuzaa nae na majizo. Mwenye kisu kikal ndio mla nyama hapo