Bifu la Lulu na Mange

Na juzi kamtaja Manji kesho yake Makonda karuka naye.
Kuna siku mtu atampandia mbuyu amtikise huko huko Marekani.
alisema kasha riport polisi kama kuna kiba kitacho mtokea serekali ya marekani italala na muhusika mbele
 
alisema kasha riport polisi kama kuna kiba kitacho mtokea serekali ya marekani italala na muhusika mbele
Serikali ya marekani haijui...yeye sio mmarekani..
Kuna watu wana nguvu ya kumshtaki na kumchukulia hatua akiwa huko huko marekani...
Hapo ndo alipobugi step kudhani mtu kama Manji hana uwezo wa kumfungulia kesi ya jinai na madai huko huko marekani [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Hiyo ni ndoto don't compare marekani na usariver muongelee mange but marekani homeless wananguvu sawa na tax payers....
 
mpaka huu mwaka uishe tutakua tumeona mengi
 
Unapotaja Ubuyu ndo nakumbuka kuwa Nifah anahusika hapa
 
Huyo huyo hamisa aliingia kwa majizo baada ya mwanamke anayetangaza five gear clouds kuzaa nae na majizo. Mwenye kisu kikal ndio mla nyama hapo
Hivi Majizzo kazaa na Zuhura?[emoji15]
Mimi nilidhani walidate tu?
Hata hivyo issue ya Zuhura na Hamisa ilishaisha kwa Hamisa kuweka facts mezani jinsi alivyounganishwa kwa Majizzo na Zuhura mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…