Bifu la Lulu na Mange

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuweka mapenzi sirini si jambo rahisi na wewe UNAFAHAM hilo hasa kwa zama hizi za maendeleo ya mawasiliano
 
kwa kweli lulu anawakati mgumu sana, sitaki kuvaa viatu vyake mana vinapwaya tena saaana, na mbaya zaidi majanga yote ya mabwana zake yanakuwaga public basi dooh. Ila kinachomponza na kupenda maisha ya juu na ukizingatia yeye ndo kila kitu kwenye familia yani anategemewa na mama yake na mdogo wake
 
Mange ana spirit ya Jezebel kabisa na hakapendi kalulu kabisaa,kamkazania majizzo mpaka kimeeleweka ingawa walaji wa ubuyu wanajua shughuli za shemeji.
Ila umenipasua roho hapo kuwa majizzo akitoka hawez kuwa na lulu[emoji26]
LULU ANAPENDA SANA PESA...HANA JEURI YA KUMWACHA MSELA.
 
Hiyo ni ndoto don't compare marekani na usariver muongelee mange but marekani homeless wananguvu sawa na tax payers....
We huijui marekani na nguvu ya mahakama zao.
Kamuulize Trump atakwambia nguvu ya mahakama za kule.
Mange anajua hakuna wa kumpandia juu ya mbuyu lakini akifuatwa huko utamsikia kilio chake.

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23] Ila mbona amejitahidi sana jamani kuwa msiri?
labda angehamia porini.Ananiuzi majibu ya shombo na majivuno duuuu utafikiri hanyi...
 
Ngoja lulu akusikie


Ila warumi... huyo mmiliki wa resio yupo ndani au nje????? Sidhani kama kuna bifu kati ya mange na luku...la sivyo mange angemchamba lulu live na lulu alivyo na majibu ya mwendokasi lazima angetuachia ibuyi insta
Mange hampendi Lulu kabisa.Hajapata angle nzuri ya kumchambua.Na vilevile ukaribu wa Familia ya Lulu na Wema unamwokoa.
 
Lulu kila mti anaojitahidi kushika unateleza...

Kanumba alivuta.

Kapteni mbunge wetu naye akavuta.

Majizo naye ataozea selo...

Lulu ana nini Lulu??
Umemsahau chusa mfanyabiashara wa tanzanite nae alivuta tena siku ya sherehe za kuzaliwa Lulu, mpaka leo Lulu hajathubutu kufanya sherehe ya kuzaliwa ukumbini ile issue imemuachia kumbukumbu mbaya sana kwenye siku yake muhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…