Majizzo apige chini Lulu na arudi kwa Hamisa wake.Shoga anguu!!mwanamke km huyo wa nini...
Maana miye nilikua nahesabia siku tumzike majizzo..Mara ghafla jela[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...
Mi km ndugu yangu!!!namshauri akimbie mbiooo
Hajawa msiri kabisa kwa Majizzo,umesahau yale mapichapicha wakawa wanajiita baba na mama nani sijui?
Vipi birthday ya Majizzo unakumbuka alivyomwish?Aliorodhesha watoto wake wote akamuacha wa Hamisa ilikuwa balaa.
Majibu ya shombo + matusi...sijawahi kumpenda Lulu kiukweli,tokea nimjue hadi leo!
umeonaaa eeeehhh!asipojiangalia jela inamwitaaMajizzo apige chini Lulu na arudi kwa Hamisa wake.
Period [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
tena alivyokua anamrusha roho mwenziwe na wapambe wakeee...looohh!!Hajawa msiri kabisa kwa Majizzo,umesahau yale mapichapicha wakawa wanajiita baba na mama nani sijui?
Vipi birthday ya Majizzo unakumbuka alivyomwish?Aliorodhesha watoto wake wote akamuacha wa Hamisa ilikuwa balaa.
Majibu ya shombo + matusi...sijawahi kumpenda Lulu kiukweli,tokea nimjue hadi leo!
kipawa kileMpaka Mwaka kahamia south Africa,Mange mpaka ikulu wanamsoma
alikuwa kwake anasubiri muda ufike akamp lulu zawadi ya vogue...kwenye bdayalifia ukumbini?
miss natafuta hakuwaga anawajua wadada wa mjini na maskendo yao nahisiSebuleni kwa Seki!..lol
ndo maana hakohoi hata kidogo jeuri yote ya lulu..siku akithubutu amvae mange ameishaa..luluuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mange ana ful data za lulu,lulu hawez kuingia pale ataachwa uchiii
Ninahisi kwasababu Lulu alitoka na mijibaba yenye pesa ilibidi aweke uhusiano wake uwe siri, baada ya kumpata Majizzo na yeye aliamua kuwakoga wabaya wake kuwa ana kijana ambae hajaoa tena mwenye pesa.Hajawa msiri kabisa kwa Majizzo,umesahau yale mapichapicha wakawa wanajiita baba na mama nani sijui?
Vipi birthday ya Majizzo unakumbuka alivyomwish?Aliorodhesha watoto wake wote akamuacha wa Hamisa ilikuwa balaa.
Majibu ya shombo + matusi...sijawahi kumpenda Lulu kiukweli,tokea nimjue hadi leo!
Ana lulu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Lulu kila mti anaojitahidi kushika unateleza...
Kanumba alivuta.
Kapteni mbunge wetu naye akavuta.
Majizo naye ataozea selo...
Lulu ana nini Lulu??
SHILAWADUAisee watu mpo vzr kwny haya mambo
Umesahau yule jamaa wa madini wa Arusha nae alivutaLulu kila mti anaojitahidi kushika unateleza...
Kanumba alivuta.
Kapteni mbunge wetu naye akavuta.
Majizo naye ataozea selo...
Lulu ana nini Lulu??
Heeee LIVOGUE kumbe?alikuwa kwake anasubiri muda ufike akamp lulu zawadi ya vogue...kwenye bday
akawa amekaa juu ya meza ya kioo ghafla ikapasuka ikamchoma kapelekwa hospital na kifo juu
Alikuwaga namtumbo au?[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji12]miss natafuta hakuwaga anawajua wadada wa mjini na maskendo yao nahisi
vogue mamaaa...ikaishia kwa mkewe Mungu fundiiHeeee LIVOGUE kumbe?
***** tungemkoma lulu..
Hapa yenyewe ana HARRIER full nyodokolosi je ingekuwa anadrive Vogue?!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Alikuwaga namtumbo au?[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji12]
marekani homeless wananguvu sawa na tax payers....Haaa haaa Duh!Homeless kwani Mange anaishi street?Hiyo ni ndoto don't compare marekani na usariver muongelee mange but marekani homeless wananguvu sawa na tax payers....