Bifu la Lulu na Mange

Bifu la Lulu na Mange

Shoga anguu!!mwanamke km huyo wa nini...

Maana miye nilikua nahesabia siku tumzike majizzo..Mara ghafla jela[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...

Mi km ndugu yangu!!!namshauri akimbie mbiooo
Majizzo apige chini Lulu na arudi kwa Hamisa wake.
Period [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hajawa msiri kabisa kwa Majizzo,umesahau yale mapichapicha wakawa wanajiita baba na mama nani sijui?
Vipi birthday ya Majizzo unakumbuka alivyomwish?Aliorodhesha watoto wake wote akamuacha wa Hamisa ilikuwa balaa.

Majibu ya shombo + matusi...sijawahi kumpenda Lulu kiukweli,tokea nimjue hadi leo!

Huna tofauti na mimi sijawahi mpenda Lulu toka nimjue mpk leo
 
Hajawa msiri kabisa kwa Majizzo,umesahau yale mapichapicha wakawa wanajiita baba na mama nani sijui?
Vipi birthday ya Majizzo unakumbuka alivyomwish?Aliorodhesha watoto wake wote akamuacha wa Hamisa ilikuwa balaa.

Majibu ya shombo + matusi...sijawahi kumpenda Lulu kiukweli,tokea nimjue hadi leo!
tena alivyokua anamrusha roho mwenziwe na wapambe wakeee...looohh!!

yaani baba g na mama g...hamisa alikua anaumia kweli haswaa...!!

na team lulu wakiongozwa na malkia was kuchamba walikua wanamchamba hamisaa jamani daahhh!

halafu anapenda kuiba mabwana za wenyewe nakumbuka ashachanjwa nyembe yule mtoto kkoo na mke wa mtu
seki alimnyang'anya husna maulidi na ndo ushosti ukafaa

anaangalia wapi Kuna danga la maana analiiba fasta na kale si bure kachawi
 
Lulu anatakiwa kufanyiwa deliverance anaugaa mapepo mengi mno..
 
Huyu binti anachonikera majibu yake tu,yeye anaona raha kweli kutukana
16230093_1254856457933648_6816080594439503872_n.jpg

Mwenzie anawahi fursa sijui ni kweli au uongo wa insta
16583159_1826472664291855_7978002456418189312_n.jpg
 
Hajawa msiri kabisa kwa Majizzo,umesahau yale mapichapicha wakawa wanajiita baba na mama nani sijui?
Vipi birthday ya Majizzo unakumbuka alivyomwish?Aliorodhesha watoto wake wote akamuacha wa Hamisa ilikuwa balaa.

Majibu ya shombo + matusi...sijawahi kumpenda Lulu kiukweli,tokea nimjue hadi leo!
Ninahisi kwasababu Lulu alitoka na mijibaba yenye pesa ilibidi aweke uhusiano wake uwe siri, baada ya kumpata Majizzo na yeye aliamua kuwakoga wabaya wake kuwa ana kijana ambae hajaoa tena mwenye pesa.
 
Heeee LIVOGUE kumbe?

***** tungemkoma lulu..

Hapa yenyewe ana HARRIER full nyodokolosi je ingekuwa anadrive Vogue?!
vogue mamaaa...ikaishia kwa mkewe Mungu fundii
[emoji3] tuñgeteketea hapa mjini maana mtoto ana nyodo yule za pesa..
anajua kutumia aiseeehhh
 
Hiyo ni ndoto don't compare marekani na usariver muongelee mange but marekani homeless wananguvu sawa na tax payers....
marekani homeless wananguvu sawa na tax payers....Haaa haaa Duh!Homeless kwani Mange anaishi street?
 
Back
Top Bottom