Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
ila huwa anajitahidi.kufanya siri majanga tu ndo huwa yanamuumbuaLulu anakosea jambo 1 tu,angeyaweka mapenzi yake sirini kama ilivyokuwa kwa marehemu Kanumba.
Kujishaua mashauzi kibao tena mtu mwenyewe ndio huyo vyanzo vya fedha mashaka matupu ni risk.
Mapenzi ya wazi atuachie anonymous
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
hamisa sio wa kwanza kuachwa majizo kazaa na wanawake watatu tofauti, hamisa nae alimkwapua kwa shost ake (zuhura)Ndiyo wanaume wajifunze, Majizzo kamuacha hamissa aliezaa nae kakimbilia kwa Lulu matokeo yake mikosi hiyo.
chaaaaa hamisa aliunganishwaje na zuhura?Hivi Majizzo kazaa na Zuhura?[emoji15]
Mimi nilidhani walidate tu?
Hata hivyo issue ya Zuhura na Hamisa ilishaisha kwa Hamisa kuweka facts mezani jinsi alivyounganishwa kwa Majizzo na Zuhura mwenyewe.
Hapa Unamzungumzia Yule KAHABA mkuu si ndio???😀😀😀😀Mange ana spirit ya Jezebel,
hata kama majanga yapo ila lulu ana kitu sio bure....cc mshana jr mtaalamu wa hizi kaziMajanga ni sehemu ya maisha ya binadamu,nyie mnaosema hivyo hamjawahi kupata majanga? Je mnajua historia za madem/wake zenu kabla hamjawa nao? Walikuwa na nani na walipatwa na nn ? MATATIZO hayakimbiwi matatizo yanatatuliwa
kama sio mwanamke lazma ni mwanaume jinsia yake haiwezi kuwa mbali na hapoHivi huyu kijana warumi ni mwanaume au mwanamke?
wengine waliozalishwa na majizo huwaonei huruma tehMm bnafs sio hater.. Bt uhusiano wa lulu na majizo siupendi.. Sabab sna (na wala mm sio mchawi) .. Napenda sana majizo awe na mzaz mwenzie mobetto.. Mobeto hana scandals zozote mbaya.. Nadhan ndio ingekua bora zaid maana wangelea mtoto wao vzur
Hiv ile ilikuwa mwaka gani mkuu mm sikuipata em nimegee kidogo[emoji101] [emoji101]umemsahau seki sijui ni seti nae alivuta , mpaka ikabidi lulu afute account yake ya insta
Wanaume wawili kumfia mikononi?? Mm namjua kanumba huyo mwingine nan mkuuKweli hilo ni jini!
Under 20 anafiwa na wanaume zaidi ya wawili mikokoni duh!!
Lazima uwe na woga kabla ya kuanzisha nae mahusiano.
Majizo amejitoa muhanga kwakweli anapaswa kupongezwa.
Amekutwa nazo mkuu?? Au ndo anadhaniwa??majizo wa Efm bwanake
Aisee kumbe cheni ni ndefuuu..ni mwendo wa kuporana tu..hamisa sio wa kwanza kuachwa majizo kazaa na wanawake watatu tofauti, hamisa nae alimkwapua kwa shost ake (zuhura)
marekani homeless wananguvu sawa na tax payers....Haaa haaa Duh!Homeless kwani Mange anaishi street?
Mkuu hivi penzi lako na the bold ni la jamvini tu au la kweli..Mapenzi ya wazi atuachie anonymous
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi na mpenzi wangu wa ndotoni Hamisa..Tunamuombea Majizo abaki huko huko alipohamisa sio wa kwanza kuachwa majizo kazaa na wanawake watatu tofauti, hamisa nae alimkwapua kwa shost ake (zuhura)
Moja kati ya maswali niulizwayo kupita kiasi...Mkuu hivi penzi lako na the bold ni la jamvini tu au la kweli..
Lazima akae karibu na mama yake ili amwambie ana laana gani na jinsi ya kuiondoaLulu kila mti anaojitahidi kushika unateleza...
Kanumba alivuta.
Kapteni mbunge wetu naye akavuta.
Majizo naye ataozea selo...
Lulu ana nini Lulu??
Hongereni sana mkuu..Mungu awasaidie mtimize haja za mioyo yenu..Moja kati ya maswali niulizwayo kupita kiasi...
NI KWELI KABISA mkuu.
Shukraan,ubarikiwe sana [emoji120]Hongereni sana mkuu..Mungu awasaidie mtimize haja za mioyo yenu..
ha ha haMimi na mpenzi wangu wa ndotoni Hamisa..Tunamuombea Majizo abaki huko huko alipo