Bifu la Lulu na Mange

Bifu la Lulu na Mange

Lulu anakosea jambo 1 tu,angeyaweka mapenzi yake sirini kama ilivyokuwa kwa marehemu Kanumba.
Kujishaua mashauzi kibao tena mtu mwenyewe ndio huyo vyanzo vya fedha mashaka matupu ni risk.

Mapenzi ya wazi atuachie anonymous
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
ila huwa anajitahidi.kufanya siri majanga tu ndo huwa yanamuumbua
 
Ndiyo wanaume wajifunze, Majizzo kamuacha hamissa aliezaa nae kakimbilia kwa Lulu matokeo yake mikosi hiyo.
hamisa sio wa kwanza kuachwa majizo kazaa na wanawake watatu tofauti, hamisa nae alimkwapua kwa shost ake (zuhura)
 
Hivi Majizzo kazaa na Zuhura?[emoji15]
Mimi nilidhani walidate tu?
Hata hivyo issue ya Zuhura na Hamisa ilishaisha kwa Hamisa kuweka facts mezani jinsi alivyounganishwa kwa Majizzo na Zuhura mwenyewe.
chaaaaa hamisa aliunganishwaje na zuhura?
yani zuhura kamuunganisha hamisa kwa baba mtoto wake? hebu nipe ubuyu ilikuaje?
 
Majanga ni sehemu ya maisha ya binadamu,nyie mnaosema hivyo hamjawahi kupata majanga? Je mnajua historia za madem/wake zenu kabla hamjawa nao? Walikuwa na nani na walipatwa na nn ? MATATIZO hayakimbiwi matatizo yanatatuliwa
hata kama majanga yapo ila lulu ana kitu sio bure....cc mshana jr mtaalamu wa hizi kazi

at the age of 20,s
kanumba kafa walikua wote
mzee wa iyena iyena kafa
bilionea secky kafa siku ya birthday
jizzo ndo huyu
na hawa ni tunaowajua watu.maarufu je kina juma wa kitaa si watakua wamedanja sana...lulu ana gundu
 
Mm bnafs sio hater.. Bt uhusiano wa lulu na majizo siupendi.. Sabab sna (na wala mm sio mchawi) .. Napenda sana majizo awe na mzaz mwenzie mobetto.. Mobeto hana scandals zozote mbaya.. Nadhan ndio ingekua bora zaid maana wangelea mtoto wao vzur
wengine waliozalishwa na majizo huwaonei huruma teh
 
Kweli hilo ni jini!

Under 20 anafiwa na wanaume zaidi ya wawili mikokoni duh!!

Lazima uwe na woga kabla ya kuanzisha nae mahusiano.

Majizo amejitoa muhanga kwakweli anapaswa kupongezwa.
Wanaume wawili kumfia mikononi?? Mm namjua kanumba huyo mwingine nan mkuu
 
Lulu kila mti anaojitahidi kushika unateleza...

Kanumba alivuta.

Kapteni mbunge wetu naye akavuta.

Majizo naye ataozea selo...

Lulu ana nini Lulu??
Lazima akae karibu na mama yake ili amwambie ana laana gani na jinsi ya kuiondoa
 
Back
Top Bottom