Wanaume wawili kumfia mikononi?? Mm namjua kanumba huyo mwingine nan mkuu
Hiv ile ilikuwa mwaka gani mkuu mm sikuipata em nimegee kidogo[emoji101] [emoji101]
Zuhura hajawai zaa na majizzo na hajawai tembea nae, yeye ndiyo alimuunganisha hamissa baadae akatamani...halaf mbona hamissa alisema aweke ushahidi zuhura akawa mpole??chaaaaa hamisa aliunganishwaje na zuhura?
yani zuhura kamuunganisha hamisa kwa baba mtoto wake? hebu nipe ubuyu ilikuaje?
baadae zuhura akamtamani tena majizo?Zuhura hajawai zaa na majizzo na hajawai tembea nae, yeye ndiyo alimuunganisha hamissa baadae akatamani...halaf mbona hamissa alisema aweke ushahidi zuhura akawa mpole??
Ndo inavyosemekana maana alikua anaongea kuwa kapokonywa lakini baada ya hamisa kumjibu na kusema aweke ushahidi toka siku hiyo hasikiki akiongeabaadae zuhura akamtamani tena majizo?
Dooh poor lulu!Alikuwa anaitwa seck alikua anadeal na ishu za madini alikufa siku ya basidei ya bibie
Nahis majizo ashaanza kuwa na waswasNI mwaka jana nadhani ilikua siku ya bday yake na ndo siku hiyo hiyo huyo mkaka (ambaye wanasema ni bilionea wa madini) alivuta , wanasema alikalia stuli ya kioo ikavunjika na kumchoma
Mmh nawaza ampate yule mwingine mkubwa zaidi wa chattleNatamani lulu ajitongozeshe kwa makonda sijui kwanini tu nawaza hivi...
Mkuu mbina haumalizii? Unatamani atusaidie kumtangiliza mbele za hali au?Mmh nawaza ampate yule mwingine mkubwa zaidi wa chattle
Le Mutuz bado hawaja muaresti...!?!?
all in all Lulu deserves love.Angesubiri aolewe kwanza ndio atambe,hata hivyo Majizzo akimuacha atakuwa hakumpenda kweli.
Hamisa anashangiliaje sasa?[emoji23] .
Mange ni mwanamke sijui ana roho ya aina gani.ila Mange muongo, mnafiki na ana wivu mnooo... hawezi mpenda lulu kwa kuwa kamzidi na anajua ndo maana anaufyata.. mange data nyingi za kupewa na za kutungwa.. siku hizi kila leo anapost kitu.. kidogo anakosolewa kuwa story ni toafuti anafuta faaastaa...!!!
True thatila Mange muongo, mnafiki na ana wivu mnooo... hawezi mpenda lulu kwa kuwa kamzidi na anajua ndo maana anaufyata.. mange data nyingi za kupewa na za kutungwa.. siku hizi kila leo anapost kitu.. kidogo anakosolewa kuwa story ni toafuti anafuta faaastaa...!!!