Bifu la Lulu na Mange

Bifu la Lulu na Mange

Hiv ile ilikuwa mwaka gani mkuu mm sikuipata em nimegee kidogo[emoji101] [emoji101]

NI mwaka jana nadhani ilikua siku ya bday yake na ndo siku hiyo hiyo huyo mkaka (ambaye wanasema ni bilionea wa madini) alivuta , wanasema alikalia stuli ya kioo ikavunjika na kumchoma
 
Zuhura hajawai zaa na majizzo na hajawai tembea nae, yeye ndiyo alimuunganisha hamissa baadae akatamani...halaf mbona hamissa alisema aweke ushahidi zuhura akawa mpole??
baadae zuhura akamtamani tena majizo?
 
NI mwaka jana nadhani ilikua siku ya bday yake na ndo siku hiyo hiyo huyo mkaka (ambaye wanasema ni bilionea wa madini) alivuta , wanasema alikalia stuli ya kioo ikavunjika na kumchoma
Nahis majizo ashaanza kuwa na waswas
 
ila Mange muongo, mnafiki na ana wivu mnooo... hawezi mpenda lulu kwa kuwa kamzidi na anajua ndo maana anaufyata.. mange data nyingi za kupewa na za kutungwa.. siku hizi kila leo anapost kitu.. kidogo anakosolewa kuwa story ni toafuti anafuta faaastaa...!!!
 
Angesubiri aolewe kwanza ndio atambe,hata hivyo Majizzo akimuacha atakuwa hakumpenda kweli.
Hamisa anashangiliaje sasa?[emoji23] .
all in all Lulu deserves love.
na aidha to keep it secret or not thats her personal life.
tumuache aishi maisha yake jamani.
yaani mtoto mdogo kama lulu watu kumuandama Nifah inauma sana
 
ila Mange muongo, mnafiki na ana wivu mnooo... hawezi mpenda lulu kwa kuwa kamzidi na anajua ndo maana anaufyata.. mange data nyingi za kupewa na za kutungwa.. siku hizi kila leo anapost kitu.. kidogo anakosolewa kuwa story ni toafuti anafuta faaastaa...!!!
Mange ni mwanamke sijui ana roho ya aina gani.
nawaonea huruma sana wanawe watakao rithi kwake
 
all in all Lulu deserves love.
na aidha to keep it secret or not thats her personal life.
tumuache aishi maisha yake jamani.
yaani mtoto mdogo kama lulu watu kumuandama Nifah inauma sana
Anayataka mwenyew
 
ila Mange muongo, mnafiki na ana wivu mnooo... hawezi mpenda lulu kwa kuwa kamzidi na anajua ndo maana anaufyata.. mange data nyingi za kupewa na za kutungwa.. siku hizi kila leo anapost kitu.. kidogo anakosolewa kuwa story ni toafuti anafuta faaastaa...!!!
True that
 
Back
Top Bottom