1st things first
Member
- May 8, 2019
- 19
- 15
Kwa kifupi, nani anaefahamu bifu la Man U na Liverpool lilianzaje mpaka kushindwa kuuziana wachezaji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga na Simba hawana uhasama halafu kama ukitaka kuuliza unauliza tu mkuu usitupangie cha kuuliza jitambue basiMaswali mengine bana ni sawa mtu aanze kuuliza ,, uhasama wa Simba na Yanga lilianzia wap hebu tuanzie hapo
Sent from my CPH2015 using JamiiForums mobile app
Lilianza kwa ishu ya wafanyabiashara.Kwa kifupi, nani anaefahamu bifu la Man U na Liverpool lilianzaje mpaka kushindwa kuuziana wachezaji?
Sawa mkuuLilianza kwa ishu ya wafanyabiashara.
Soma link hii....
History of the Manchester United - Liverpool rivalry
Nimesoma hii article, daahh kweli hawa jamaa hawapendani. Cheki hii :Lilianza kwa ishu ya wafanyabiashara.
Soma link hii....
History of the Manchester United - Liverpool rivalry