Bifu la Mwana Fa na Lady Jaydee limekwisha

Hiyo ni Wao tu ila Mimi ukishakosana / kukinukisha tu nami ' bifu ' langu nawe litaisha pale tu mmoja wetu atakapotangulia ardhini siku ya mwisho ya kuwepo rasmi hapa duniani / ulimwenguni.

Unyama Unyama tu / Jino kwa Jino / Kanyaga Twende / Mbele kwa Mbele.
 
mwanaFA na AY wanaidai tigo zaidi ya 2bilioi tshs na alienda kwenye fiesta arusha kama mtu wa kawaida akazuiliwa kuingia bila sababu waandaaji ambao ni clouds na tigo wakakana mwanaFA akasema atawapeleka mahakamani cjui imeishia wapi but seems AY na FA hawako poa na clouds although bifu la ruge limeisha kinafiki nadhani izi mtu mbili Leo zimeamua kuwa kama jdee na wote wamempost something they never do before
tigo hela mtatoa na ruge apambane na machoz yake
 
Jaydee kaacha kuimba kama anaimba kwaya?
 
we kweli ni mnyarwanda halisi aiseeee.. Nauhitaji huu moyo kama wako aiseeee
 
we kweli ni mnyarwanda halisi aiseeee.. Nauhitaji huu moyo kama wako aiseeee

Kwani ulidhani natania kwamba Mimi ni Mnyarwanda tena wa Kabila la ' Kimapambano ' la Kitutsi Mkuu? Mimi ukilianzisha tu nami silimalizi nawe hadi nami ' nikutengeneze ' ili baada ya hapo tuanze Kuheshimiana. Wenye tabia hizi kama zangu tuko Wachache sana duniani Sisi Wanyarwanda na Waisraeli. Ukiua Muisraeli mmoja Wao wanakuja kulipiza Kisasi kwa kuua Watu wako 200 hadi 500.
 
We muongo, juzi tu alikuudhi RC wa dar, lkn baadae ukajirekebisha na kuomba radhi, na kuahidi kumsapoti kama zamani.
 
We muongo, juzi tu alikuudhi RC wa dar, lkn baadae ukajirekebisha na kuomba radhi, na kuahidi kumsapoti kama zamani.

Hoja yako ni ipi hapa? Hueleweki na huna tofauti na Mwanamke ' Kahaba ' ambaye muda wote anahangaika hangaika tu kutafuta ' Mabwana ' wa Kumbandua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…