Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Huna jibu piga kimya weweHawajawahi kufanyana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna jibu piga kimya weweHawajawahi kufanyana!
mwanaFA na AY wanaidai tigo zaidi ya 2bilioi tshs na alienda kwenye fiesta arusha kama mtu wa kawaida akazuiliwa kuingia bila sababu waandaaji ambao ni clouds na tigo wakakana mwanaFA akasema atawapeleka mahakamani cjui imeishia wapi but seems AY na FA hawako poa na clouds although bifu la ruge limeisha kinafiki nadhani izi mtu mbili Leo zimeamua kuwa kama jdee na wote wamempost something they never do before
tigo hela mtatoa na ruge apambane na machoz yake
Hata kama hoja yangu hukuielewa, ni sahihi kutumia lugha isiyo na staha!!? OK ubarikiwe mkuu.Hoja yako ni ipi hapa? Hueleweki na huna tofauti na Mwanamke ' Kahaba ' ambaye muda wote anahangaika hangaika tu kutafuta ' Mabwana ' wa Kumbandua.