Bifu la Mwana Fa na Lady Jaydee limekwisha

Bifu la Mwana Fa na Lady Jaydee limekwisha

A
mwanaFA na AY wanaidai tigo zaidi ya 2bilioi tshs na alienda kwenye fiesta arusha kama mtu wa kawaida akazuiliwa kuingia bila sababu waandaaji ambao ni clouds na tigo wakakana mwanaFA akasema atawapeleka mahakamani cjui imeishia wapi but seems AY na FA hawako poa na clouds although bifu la ruge limeisha kinafiki nadhani izi mtu mbili Leo zimeamua kuwa kama jdee na wote wamempost something they never do before
tigo hela mtatoa na ruge apambane na machoz yake

Alikuwa anataka kuingia bure ndo maana akakataliwa acheni porojo
 
Binafsi simuelewagi anachofanya hide,bora aendelee na biashara tu
 
Hoja yako ni ipi hapa? Hueleweki na huna tofauti na Mwanamke ' Kahaba ' ambaye muda wote anahangaika hangaika tu kutafuta ' Mabwana ' wa Kumbandua.
Hata kama hoja yangu hukuielewa, ni sahihi kutumia lugha isiyo na staha!!? OK ubarikiwe mkuu.
 
Back
Top Bottom