Mzee unachanganya madesa, kilichotumika hadi kusababisha majani alipwe ni beat tu tena alieifikisha huko duniani ni kinyonga wa uganda, prof alikiri kuwa yeye hakuwa na haki zozote kwenye ile beat, nenda katafute wimbo unaoitwa bomboclaat wa josee feat weaselAnayo yaongea Majani yana evidence?
Kaongea vitu ila vingine vina mrudia yy?
Sababu hata hao akina Prof Jay na Nature hawana haki na nyimbo zao ,kapewa dollar 50000 baada ya nyimbo ya Nikisaidieje kutumika na movie moja US, Prof alimpa ngapi?Mpaka kufikia level ya Prof kusambaza bakuli kwa ajili ya matibabu.
Vip Nature mmoja ya wasanii walioikamata bongo, ila cha ajabu kwa wasanii waliolipwa mirabaha hayupo, ila tulimwona yy akienda Basata kuvuta mzigo (japo najua sio mkubwa).
Chanzo cha beef lao ni baada ya kuomba apewe support ya msanii wake Raptcha, ila WCB wakamchomolea kwani pale kwao kila kitu biashara hamna cha bure.