warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Nakumbuka baada ya Irene uwoya kutolewa kwenye Gazeti la shigongo wakat alipofumwa hotelin wakifanya mambo yao na Diamond, ndipo bidada alipoanza kumtishia kuwa anajua uchafu wote wa shigongo na soon atauanika, hata hivyo hakufanya hivyo, kama alivyoahid, hivyo basi #Team Gossipcopwarumi imeingia mzigoni na kuzinyaka siri nzito na za kutisha , kaeni mkao wa kula soon mtapata mautamu ya mtumishi huyu wa mungu ambaye ameanzisha operation yake ya kufichua maovu , hivyo sisi tunaendeleza libeneke
Coming Soon...
Coming Soon...