Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani anatafuta pesa kitapel ebu funguka
kwa mara ya kwanza metakiwa niwe karibu ya post zako, huwa sifurahishwi kabisa na mambo yako mengi na najitahidi kukurekebisha uwe gentleman wa kiukwelii japo unaleta jeuri lakini leo naomba nikuache mana hiyo habari imenishtua as namfahamu jamaa na namuona kama mtu makini hasaa.bifu (marekebisho) litaendelea ikiisha hii
wengi wa raia wa mikoani hauwaambii kitu kuhusu Shigongo
wanamsujudu yaan hakuna mfano!!
Duuuuh!
Eric huyu huyu!
Ahahahahahhahaha
binamu , huyu shigongo kashamgonga sana lulu michael, hadi kumla tigo, yaani kamgonga sana jaman mtoto wa watu , anajifanya msafi mnafiki mkubwa huyu file lake lipo jikoni soon mtapata uji wa motooo kuhusu mtumishi huyu
hahahaaaaaa we
joe5 umenichekesha sana we kutwa si ndo uko
kumsimanga binamu
kila habari atakaeitoa leo yamekusibu yapi kuubariki huu umbea as
unavoitaga kila siku
Back to topic huyo mtu hana cha umakini wala nini ingekua opareshen
fichua maovu ianze
nae na wangeanza na ile ishu waliomfanyia yule baba hadi akajitoa uhai
wake kukwepa aibu
hakuna adui wa kudumu mrembo Heaven on Earth ,na ni kwamba namsaidia warumi kwa nia njema asijisahau, anapitiliza jambo ambalo sio jema kwa mtoto wa kiume.
sasa ebu nambie, ni babu gani huyo na walimfanyeje,mana wengine hayo magazeti ni kituo cha polisi.
Nyie acheni uzushi wenu mmekosa ya kuandika
Nakuwa too much binamu au sio
Aaaah aah usiogope binamu , bas ntapunguza au niache kabisa?