Bifu la Shigongo na Irene Uwoya

Bifu la Shigongo na Irene Uwoya

Mnatafuta pesa kitapeli tu hamna kitu hapo
 
Nani anatafuta pesa kitapel ebu funguka

kwa mara ya kwanza metakiwa niwe karibu ya post zako, huwa sifurahishwi kabisa na mambo yako mengi na najitahidi kukurekebisha uwe gentleman wa kiukwelii japo unaleta jeuri lakini leo naomba nikuache mana hiyo habari imenishtua as namfahamu jamaa na namuona kama mtu makini hasaa.bifu (marekebisho) litaendelea ikiisha hii
 
wengi wa raia wa mikoani hauwaambii kitu kuhusu Shigongo
wanamsujudu yaan hakuna mfano!!
 
Hahaha siku hizi chit chat, na MMU hapanibariki kabisa. Niko huku downstairs manake kwa juice ya miwa ilochanganywa na ndimu hapajambo...
 
kwa mara ya kwanza metakiwa niwe karibu ya post zako, huwa sifurahishwi kabisa na mambo yako mengi na najitahidi kukurekebisha uwe gentleman wa kiukwelii japo unaleta jeuri lakini leo naomba nikuache mana hiyo habari imenishtua as namfahamu jamaa na namuona kama mtu makini hasaa.bifu (marekebisho) litaendelea ikiisha hii

hahahaaaaaa we joe5 umenichekesha sana we kutwa si ndo uko kumsimanga binamu
kila habari atakaeitoa leo yamekusibu yapi kuubariki huu umbea as unavoitaga kila siku

Back to topic huyo mtu hana cha umakini wala nini ingekua opareshen fichua maovu ianze
nae na wangeanza na ile ishu waliomfanyia yule baba hadi akajitoa uhai wake kukwepa aibu
 
Last edited by a moderator:
Duuuuh!
Eric huyu huyu!
Ahahahahahhahaha

Huyo huyo ambaye anafichua maovu na wenzie, sasa ivi anampigia promo ya kampeni ........mwenzie ya uchaguz halafu anajifanya eti siyo yeye tangazo limelipiwa na watu wa bagamoyo na chalinze mbona anajishuku aliyemwambia ni yeye Nani? Mbona matangazo mengine hasemi waliyolipia hlo la ...... mwenzie anajifanya kujishtukia, ataisoma namba.
 
binamu , huyu shigongo kashamgonga sana lulu michael, hadi kumla tigo, yaani kamgonga sana jaman mtoto wa watu , anajifanya msafi mnafiki mkubwa huyu file lake lipo jikoni soon mtapata uji wa motooo kuhusu mtumishi huyu

Hapo chacha... ngoja nikae makao wa kula mie..
 
Watu tumenawa mikono zamani tunasubiri kula mpaka mikono ishakauka, toa habari mkuu
 
hahahaaaaaa we
joe5 umenichekesha sana we kutwa si ndo uko
kumsimanga binamu
kila habari atakaeitoa leo yamekusibu yapi kuubariki huu umbea as
unavoitaga kila siku

Back to topic huyo mtu hana cha umakini wala nini ingekua opareshen
fichua maovu ianze
nae na wangeanza na ile ishu waliomfanyia yule baba hadi akajitoa uhai
wake kukwepa aibu

hakuna adui wa kudumu mrembo Heaven on Earth ,na ni kwamba namsaidia warumi kwa nia njema asijisahau, anapitiliza jambo ambalo sio jema kwa mtoto wa kiume.
sasa ebu nambie, ni babu gani huyo na walimfanyeje,mana wengine hayo magazeti ni kituo cha polisi.
 
haya poa hakuna shaka...., maana binamu nae kuna mda duuh

mie mwenyewe hayo magazeti sitoi senti yangu kununua na hiyo habari hawezi kuandika
GPL maana inamhusu mwenyewe ngoja thread iwekwe ila ni aibu
 
haya poa hakuna shaka...., maana binamu nae kuna mda duuh

mie mwenyewe hayo magazeti sitoi senti yangu kununua na hiyo habari hawezi kuandika
GPL maana inamhusu mwenyewe ngoja thread iwekwe ila ni aibu

Nakuwa too much binamu au sio
 
Aaaah aah usiogope binamu , bas ntapunguza au niache kabisa?

hakuna kuacha....jukwaa liko motomoto now.......

punguza tu baadhi ya maeneo na wale wanaojifanya wenyewe ni born town

achana nao wala huna haja ya kujibizana nao.. they either TAKE it or LEAVE it.
 
hakuna kuacha....jukwaa liko motomoto now.......

punguza tu baadhi ya maeneo na wale wanaojifanya wenyewe ni born town

achana nao wala huna haja ya kujibizana nao.. they either TAKE it or LEAVE it.

:thumbup:, nimekusoma wangu
 
Back
Top Bottom