Bifu la Shigongo na Irene Uwoya

Bifu la Shigongo na Irene Uwoya

Af I always had this feeling shigongo lazima ana kitu behind uchamungu wake hamna mchamungu anaeweza kuruhusu ushenz kama anaoandikaga huyu baba cmpend mimi Mungu anisamehe kumchukia binadam mwenzangu hivi!!
 
hakuna kuacha....jukwaa liko motomoto now.......

punguza tu baadhi ya maeneo na wale wanaojifanya wenyewe ni born town

achana nao wala huna haja ya kujibizana nao.. they either TAKE it or LEAVE it.

Heaven on Earth naomba uni PM huu ubuyu ukitoka please jamani aafu babu aliejiua ndo nani jamani?
 
Last edited by a moderator:
Sasa wewe uku umefuata nn? Nyani haoni.......
aya pita iviii

siwezi kupita muache kudiscuss na nuchunguza mambo ya watu mwanaume mzima cha kuongea huna ukisutwa unakimbilia mahakamani wanaume wenzio wakusaidie
 
siwezi kupita muache kudiscuss na nuchunguza mambo ya watu mwanaume mzima cha kuongea huna ukisutwa unakimbilia mahakamani wanaume wenzio wakusaidie

Wewe hmu uliingia kufanya nni? , yaan hakuna nitakachoacha kufanya humu hadi nipende mm mwenyew sio kwa ajil ya nyie misukule
 
Watanzania acheni umbeya ninyi fanyeni kazi .mmekalia majungu wenzenu wanatandika mabomba ya gesi mkimaliza hao na gesi wanaelekea kwao

wewe ni Mkenya!!!!!!!!!! majukwaa yako mengi humu JF UPOPO
 
Last edited by a moderator:
Erick ndio anapenda hizo ishu.... kula kisamvu
dah... jamaa ingawaje nilikuwa cmuamini amini lakini it didn't cross my mind kwamba mla visamvu vilivyochacha! afu anapiga mawe wenzake wakati anaishi nyumba za vioo!!??
 
siwezi kupita muache kudiscuss na nuchunguza mambo ya watu mwanaume mzima cha kuongea huna ukisutwa unakimbilia mahakamani wanaume wenzio wakusaidie
Na wewe acha unoko bhana... kama issue huzipendi c unazipotezea bana?! hivi nchi hii kuna anayeongoza kuchunguza private life za watu zaidi ya huyo Shigongo? Muulize Jide atakuambia... hadi gazeti lake akalitungia wimbo!
 
hahahaaaaaa we
joe5 umenichekesha sana we kutwa si ndo uko
kumsimanga binamu
kila habari atakaeitoa leo yamekusibu yapi kuubariki huu umbea as
unavoitaga kila siku

Back to topic huyo mtu hana cha umakini wala nini ingekua opareshen
fichua maovu ianze
nae na wangeanza na ile ishu waliomfanyia yule baba hadi akajitoa uhai
wake kukwepa aibu

Ingekuwa Nchi nyingine, huyu jamaa angeshamiminiwa risasi za kichwa, lakini naamini ipo siku yatamkuta tu, mtakuja kuniambia hapa jukwaani!
Sio binadamu huyu! Kawafanyia watu wengi sana mambo ya kifirauni. Kuna jamaa walimkosakosa kipindi fulani, naamini bado wanamlia taiming!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom