Bifu la Shigongo na Irene Uwoya

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Nakumbuka baada ya Irene uwoya kutolewa kwenye Gazeti la shigongo wakat alipofumwa hotelin wakifanya mambo yao na Diamond, ndipo bidada alipoanza kumtishia kuwa anajua uchafu wote wa shigongo na soon atauanika, hata hivyo hakufanya hivyo, kama alivyoahid, hivyo basi #Team Gossipcopwarumi imeingia mzigoni na kuzinyaka siri nzito na za kutisha , kaeni mkao wa kula soon mtapata mautamu ya mtumishi huyu wa mungu ambaye ameanzisha operation yake ya kufichua maovu , hivyo sisi tunaendeleza libeneke
Coming Soon...

warumi ndo nini binam....mimi nshanawa mikono afu unasema msoc bado
 
Last edited by a moderator:

Huu ndo ujinga unaouzi, badala ya kuleta habari mnaleta kichwa cha habari.
 
Binamu umbea utaumwaga leo au keshoo??
 
naisubilia ripoti yako mkuu
 
Last edited by a moderator:

Shigongo ni mchafu sana na asiestahili heshima anayoipata kutoka kwa jamii isiyomjua.
Mkikusanya data zenu kuhusiana na mtu huyu, nitafuteni niongezee mawili matatu machafu ya huyu jamaa anaejifanya mtakatifu na mtumishi wa dini. Hamtaamini
 
dah! Nimesoma post yako jinsi ulivyozungumza kikatili, nikachungulia na hilo jina, hatari tupu!
 
ni ukweli jamaa sio mtu mzuri ni mafia type aliejificha kwenye mwamvuli wa ulokole ila hafai kabisa ngoja warumi ana hacra nae atukusanyie namuamini yule hataacha hata chembe ila angalizo warumi icje ikawa anamtishia tu ili labda waPM ane
 
Shigongo ni mchafu sana na asiestahili heshima anayoipata kutoka kwa jamii isiyomjua.
Mkikusanya data zenu kuhusiana na mtu huyu, nitafuteni niongezee mawili matatu machafu ya huyu jamaa anaejifanya mtakatifu na mtumishi wa dini. Hamtaamini

Isijali mkuu, huyu lazima akae sawa mwaka huu ata amini
 
Modes huwa hawaachi threaad za Erick zitajadiliwa

mara utashangaa inamuvuzishwa au kufungwa
 
Aha! Umenitemesha pipi yangu kwa karanga zako ,kumbe karanga zenyewe mbovu ebu leta story huko
 
Shigongo ni mchafu sana na asiestahili heshima anayoipata kutoka kwa jamii isiyomjua.
Mkikusanya data zenu kuhusiana na mtu huyu, nitafuteni niongezee mawili matatu machafu ya huyu jamaa anaejifanya mtakatifu na mtumishi wa dini. Hamtaamini

Nasubiri. ...ila usichelewe kumwaga mtama basii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…