Hii ni homa ya jiji, kuna watu watu flan , nadhan wameingia kwa account nyingine, naona tu wanapitia thread zangu mbali mbal na kuporomosha mvua ya mawe
Ndio Ujue JF baba laooo,we niitee tuwaswekee rumandeee waje vizuriii
Wapii binamu nipe habari fungukaaa team zipii we sie mpaka tumejadiliwa U turn mchezooo
Na lazima wakae mwaka huuu watatutetemekajee
hata wa ki discus wataisoma number mwaka huu
Hahhhhhahhhhahhha lazima wakaliee bisibisii naona wamezoeaa kukaliaa miti mikavuu
haya turudi njia kuu, bifu la shigongo na uwoya limeishia wpi?
Kula like Mkuu!!!
Ndio Ujue JF baba laooo,we niitee tuwaswekee rumandeee waje vizuriii
nshammiss Dinazarde
Loh, umeswekwa wewe rumande sasa, Pole shost!
Naona wamekwenda lumande sasa huu Uzi utapoa
sijui kwa nini kapewa ban
Wakina nani haoo? Ebu nitajie majina yao niwape dozi ya kuifungia gossipcopwarumi nirud kule kwa warumi ?? Natak nikafe nao , haiwezekan waingie kweny himay yet then watushinde