Bifu la Shigongo na Irene Uwoya

Bifu la Shigongo na Irene Uwoya

Nimepitia page 1 mpaka ya mwisho !!!
Honestly sijaelewa no one aliye straight ni juu juu tu

Mwageni basi kama yapo ye kashamwaga ugali
 
Yaani warumi bila Dinazarde ni kama gari bila matair,na sisi tutafungua kampuni kama ray na johar, sisi yetu tutaita WD entertainment, sema sisi hatutoi film tunatoa ubuyu na uji wa motoo

Hahhhhha tutafunguaaa nimerudi binam huo uji nadhan unanisubiri miee piaaa lol maana ungeutoa wakati sipo ningekuchenjiaa hataree
 
Last edited by a moderator:

Yeleuwiiii kesho warumi nae ndani ya nyumba, yaan itakuwa shidaa, makamanda ndani ya nyumba, team naniii itanunajeee?? Na easter Nina ubuyu mnonooo yan full mautamu
 
Watasonyajee na vigimbi vyao kama magimbiiiiiii heroooooo
 
Last edited by a moderator:
Wee njoo sis tupo na mbio kutafuta first class za wale waheshimiwa..onana na Tatiana akuambie mchakato ulipofikia

Mchakato upo poa kabisa. Maana Heaven on Earth ameshakaribia kumvua mmoja.. after that njia nyeuuuupee
 
Last edited by a moderator:
Can't wait... lol

Team milele, Team miaka miaa, hihiiii watuacheee na binamu yangu..Yaan apa na nguvu zimekuja ghafla after seeing roho yangu mie , my chiquitita, hihiii tumekuja kuwashika, watakimbia uchi mwaka huu..
 
Hahhhhhhahha tena huku wameivaaa kichwaniiii so team imekamilikaaa we mwagaa wamwagie wakipenda watazoaaaaa au wataulambaaa ni juu yaoooooo
 
Halafu na hivi sisi ni matusiproof watakomaje!!!!
 
Hahhhhhhahha tena huku wameivaaa kichwaniiii so team imekamilikaaa we mwagaa wamwagie wakipenda watazoaaaaa au wataulambaaa ni juu yaoooooo

Ngoja nikukaribishe na hii , kuna umbea uko Insta umeenea eti dougie masta ni rmy Jones, yaan nimevumilia nikasema ata ngoja nimdakishe na binamu yangu
 
Uwiiiiii niliona kwa mavii wanajiulizaa huyu dogie ni nanii hahhha ni noumaa watakomaje na umaarufu wao wa lazimaa
 
Hivi mnapiga lorljo au hiio makitu ya shiglngo mnaleta
 
Back
Top Bottom