Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Hahhhhha tutafunguaaa nimerudi binam huo uji nadhan unanisubiri miee piaaa lol maana ungeutoa wakati sipo ningekuchenjiaa hataree
Waaau umerud baby wellcome back ....receive my hug my wiii
Hahhhhha tutafunguaaa nimerudi binam huo uji nadhan unanisubiri miee piaaa lol maana ungeutoa wakati sipo ningekuchenjiaa hataree
Yeleuwiiii kesho warumi nae ndani ya nyumba, yaan itakuwa shidaa, makamanda ndani ya nyumba, team naniii itanunajeee?? Na easter Nina ubuyu mnonooo yan full mautamu
Mwaaaaa wiii niambieeee duu nilipewa likizo ya kuitafuta ndege ya malaysiaaa
Wee njoo sis tupo na mbio kutafuta first class za wale waheshimiwa..onana na Tatiana akuambie mchakato ulipofikia
Wakaoge mto wami, mziki huu ni mnene kuuzima, Nani amenunaaaaa???..[/QUOT
...............wamenunaaaaaaaaaaaaa
Wee njoo sis tupo na mbio kutafuta first class za wale waheshimiwa..onana na Tatiana akuambie mchakato ulipofikia
Team milele, Team miaka miaa, hihiiii watuacheee na binamu yangu..Yaan apa na nguvu zimekuja ghafla after seeing roho yangu mie , my chiquitita, hihiii tumekuja kuwashika, watakimbia uchi mwaka huu..
Team milele, Team miaka miaa, hihiiii watuacheee na binamu yangu..Yaan apa na nguvu zimekuja ghafla after seeing roho yangu mie , my chiquitita, hihiii tumekuja kuwashika, watakimbia uchi mwaka huu..
Hahhhhhhahha tena huku wameivaaa kichwaniiii so team imekamilikaaa we mwagaa wamwagie wakipenda watazoaaaaa au wataulambaaa ni juu yaoooooo
Ngoja nikukaribishe na hii , kuna umbea uko Insta umeenea eti dougie masta ni rmy Jones, yaan nimevumilia nikasema ata ngoja nimdakishe na binamu yangu