Uso wa nyoka
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 4,791
- 2,375
Mkuu, umedical assistant ulitoka wapi?
we acha tu, huku chini siku hizi kumewaka moto
Nimepitia post zote kuhusiana na huyu jamaa ila inavyoelekea wengi wenu hamfahamu undani wa huyu jamaa. Nayajua maisha yake tangu miaka ya mwishoni mwa 198x mpaka 20xx mengi nimeyashuhudia live. Ndg zangu ni ushetani mtupu; ujambazi, utapeli,mauaji, engagement in illegal businesses including drug deals etc etc etc.
Msimuone hivyo jamaa ana roho mbaya sana ila ukimcheki machoni ni kama mtu kumbe shetani.
Msione watu matajiri tu, huyu jamaa kaanzia mbali sana sana sana !!! Hivi mnajua kuwa hata elimu hana?
Ngoja nikomee hapa maana nikitaka nielezee sitamaliza leo.
Yaani nchi hii ukiwa
tu namafanikio lazima watu wazue yao yaani watanzania wengi wanatabia za
kichawi hawataki maendeleo ya wenzao
Mi nilichoka tu ile ishu yake na yule jamaa wa magereza ya ukonga , dah jamaa muuaji wa kimataifa, alitaka kumuua mh wa watu bure , ila ataumbuka tu soon, ulimwengu utamjua the real James shigongo, kuna jambaz la kitaifa lipo ukonga magereza lilitumwa kumuua mh flan(jina kapun) na funguo ya nyumba yake akapewa bahat nzuri hakumkuta, huu ubunge huu wa kulazimisha hatarNimepitia post zote kuhusiana na huyu jamaa ila inavyoelekea wengi wenu hamfahamu undani wa huyu jamaa. Nayajua maisha yake tangu miaka ya mwishoni mwa 198x mpaka 20xx mengi nimeyashuhudia live. Ndg zangu ni ushetani mtupu; ujambazi, utapeli,mauaji, engagement in illegal businesses including drug deals etc etc etc.
Msimuone hivyo jamaa ana roho mbaya sana ila ukimcheki machoni ni kama mtu kumbe shetani.
Msione watu matajiri tu, huyu jamaa kaanzia mbali sana sana sana !!! Hivi mnajua kuwa hata elimu hana?
Ngoja nikomee hapa maana nikitaka nielezee sitamaliza leo.
Yaani nchi hii ukiwa tu namafanikio lazima watu wazue yao yaani watanzania wengi wanatabia za kichawi hawataki maendeleo ya wenzao
hivi nani ana clip ya part II Mzee K akiliwa kiboga kule Sinza?
watu walitemeshwa mil 70 wakaona bado.
Maskini......baba wa watu kajiua zake.
Kaona haitoshi....akataka adhulumu Triz Motel......maskini hakujua kuwa Sumuaye....angeng'oa gati....
Jamaa kaona isiwe tabu, usalam kapagwaya
Sahivi anatamani hata asingekuwa waziri.
Now ni paka na panya.
Hata afanye zuri gani.....hakohowi katu.
......kama hamjanielewa mnisamehe, naogopa kitanzi
hahaa uko poa best
Mkuu, umedical assistant ulitoka wapi?
Ninavyojua mimi jamaa
alikimbia course ya nursing(utabibu) kule tabora baada ya kushindwa
assignment ya kuosha vidonda vya wakoma those days ukoma ulikuwa
umeshamiri sana mkoani Tabora.
Alivyotoka huko pamoja na shughuri nyingine alizokuwa akifanya pia
alifungua dispensary huko kwao akijifanya daktari... too sad wagonjwa
wengi sana waliokuwa admitted pale walipoteza maisha! na purpose ya
kufungua dispensary ile kumbe ilikuwa ni kwaajili ya kutibu vijana wake
waliokuwa wanamfanyia shughuri maalum za kijambazi!!!
Yaani nchi hii ukiwa
tu namafanikio lazima watu wazue yao yaani watanzania wengi wanatabia za
kichawi hawataki maendeleo ya wenzao
Kauli za wapambe
Nakupa muhtasari tu habari kamili atakupa warumiAiseeer Warumiii utamu utaishaaa
Huyu jamaa ni mfir@ji mkubwaa , kuna kipindi nakumbuka ilikuwa 2011 kwenye press conference kuna mashoga wawil walikuwa wanamgombania shigongo ,kila mtu anasema wake , mzee kuona mambo magumu akakimbia, na mmoja kati ya hao mashoga aliuawa ghafla na maiti ilikutwa chumbani mwa huyo shoga mpaka kesho haijulikani nani muhusika , na inasemekana shigongo ndiye muhusika mkuu wa kifo cha huyo shoga mambo ya huyu mtumishi yanatisha, na kesi za kutongoza wake za watu ndo usiseme
Huu ni mwanzo ,just intro