Bifu la Shigongo na Irene Uwoya

Bifu la Shigongo na Irene Uwoya

Nimepitia post zote kuhusiana na huyu jamaa ila inavyoelekea wengi wenu hamfahamu undani wa huyu jamaa. Nayajua maisha yake tangu miaka ya mwishoni mwa 198x mpaka 20xx mengi nimeyashuhudia live. Ndg zangu ni ushetani mtupu; ujambazi, utapeli,mauaji, engagement in illegal businesses including drug deals etc etc etc.
Msimuone hivyo jamaa ana roho mbaya sana ila ukimcheki machoni ni kama mtu kumbe shetani.
Msione watu matajiri tu, huyu jamaa kaanzia mbali sana sana sana !!! Hivi mnajua kuwa hata elimu hana?
Ngoja nikomee hapa maana nikitaka nielezee sitamaliza leo.

Duuuuuuu
 
Yaani nchi hii ukiwa tu namafanikio lazima watu wazue yao yaani watanzania wengi wanatabia za kichawi hawataki maendeleo ya wenzao
 
Yaani nchi hii ukiwa
tu namafanikio lazima watu wazue yao yaani watanzania wengi wanatabia za
kichawi hawataki maendeleo ya wenzao

Kaa kimya na uache ushamba, kwa sababu huelewi unachokizungumza! Unaweza kutoa facts za kupinga kinachozungumzwa kumhusu huyu mtu?
Shigongo ana kipi watu wamuonee wivu? Vigazeti vya udaku na danguro lake na Dar live na kingine? Acha kutwist mada!
 
hivi nani ana clip ya part II Mzee K akiliwa kiboga kule Sinza?
watu walitemeshwa mil 70 wakaona bado.
Maskini......baba wa watu kajiua zake.

Kaona haitoshi....akataka adhulumu Triz Motel......maskini hakujua kuwa Sumuaye....angeng'oa gati....
Jamaa kaona isiwe tabu, usalam kapagwaya
Sahivi anatamani hata asingekuwa waziri.
Now ni paka na panya.
Hata afanye zuri gani.....hakohowi katu.

......kama hamjanielewa mnisamehe, naogopa kitanzi
 
hii jamii tunatakiwa tuwe free na si kupeana habari kijuu juu
 
Funguka mkuu, tufichue uovu wa hawa jamaa wanaojificha chini ya vivuli vya dini, Mrs Ndi dah! Hadi bepari wa Bamaga!!!
 
Nimepitia post zote kuhusiana na huyu jamaa ila inavyoelekea wengi wenu hamfahamu undani wa huyu jamaa. Nayajua maisha yake tangu miaka ya mwishoni mwa 198x mpaka 20xx mengi nimeyashuhudia live. Ndg zangu ni ushetani mtupu; ujambazi, utapeli,mauaji, engagement in illegal businesses including drug deals etc etc etc.
Msimuone hivyo jamaa ana roho mbaya sana ila ukimcheki machoni ni kama mtu kumbe shetani.
Msione watu matajiri tu, huyu jamaa kaanzia mbali sana sana sana !!! Hivi mnajua kuwa hata elimu hana?
Ngoja nikomee hapa maana nikitaka nielezee sitamaliza leo.
Mi nilichoka tu ile ishu yake na yule jamaa wa magereza ya ukonga , dah jamaa muuaji wa kimataifa, alitaka kumuua mh wa watu bure , ila ataumbuka tu soon, ulimwengu utamjua the real James shigongo, kuna jambaz la kitaifa lipo ukonga magereza lilitumwa kumuua mh flan(jina kapun) na funguo ya nyumba yake akapewa bahat nzuri hakumkuta, huu ubunge huu wa kulazimisha hatar
 
Yaani nchi hii ukiwa tu namafanikio lazima watu wazue yao yaani watanzania wengi wanatabia za kichawi hawataki maendeleo ya wenzao

hvi unajua mafanikio wewe biligate ni tajiri na bado anaona hajafanikiwa eti wivu poor you
 
hivi nani ana clip ya part II Mzee K akiliwa kiboga kule Sinza?
watu walitemeshwa mil 70 wakaona bado.
Maskini......baba wa watu kajiua zake.

Kaona haitoshi....akataka adhulumu Triz Motel......maskini hakujua kuwa Sumuaye....angeng'oa gati....
Jamaa kaona isiwe tabu, usalam kapagwaya
Sahivi anatamani hata asingekuwa waziri.
Now ni paka na panya.
Hata afanye zuri gani.....hakohowi katu.

......kama hamjanielewa mnisamehe, naogopa kitanzi

Hili bonge la movie lakini wanaongea Kichina na comments ziko kiyunani, ebu tasfri fresh kama Lufufu wa movie za Kihindi
 
Mkuu, umedical assistant ulitoka wapi?

Ninavyojua mimi jamaa alikimbia course ya nursing(utabibu) kule tabora baada ya kushindwa assignment ya kuosha vidonda vya wakoma those days ukoma ulikuwa umeshamiri sana mkoani Tabora.
Alivyotoka huko pamoja na shughuri nyingine alizokuwa akifanya pia alifungua dispensary huko kwao akijifanya daktari... too sad wagonjwa wengi sana waliokuwa admitted pale walipoteza maisha! na purpose ya kufungua dispensary ile kumbe ilikuwa ni kwaajili ya kutibu vijana wake waliokuwa wanamfanyia shughuri maalum za kijambazi!!!
 
Ninavyojua mimi jamaa
alikimbia course ya nursing(utabibu) kule tabora baada ya kushindwa
assignment ya kuosha vidonda vya wakoma those days ukoma ulikuwa
umeshamiri sana mkoani Tabora.
Alivyotoka huko pamoja na shughuri nyingine alizokuwa akifanya pia
alifungua dispensary huko kwao akijifanya daktari... too sad wagonjwa
wengi sana waliokuwa admitted pale walipoteza maisha! na purpose ya
kufungua dispensary ile kumbe ilikuwa ni kwaajili ya kutibu vijana wake
waliokuwa wanamfanyia shughuri maalum za kijambazi!!!

Halafu watu wanadai eti watu wanamuonea wivu kwa mafanikio aliyonayo! Huyu si mpuuzi tu?
 
Huyu jamaa ni mfir@ji mkubwaa , kuna kipindi nakumbuka ilikuwa 2011 kwenye press conference kuna mashoga wawil walikuwa wanamgombania shigongo ,kila mtu anasema wake , mzee kuona mambo magumu akakimbia, na mmoja kati ya hao mashoga aliuawa ghafla na maiti ilikutwa chumbani mwa huyo shoga mpaka kesho haijulikani nani muhusika , na inasemekana shigongo ndiye muhusika mkuu wa kifo cha huyo shoga mambo ya huyu mtumishi yanatisha, na kesi za kutongoza wake za watu ndo usiseme
Huu ni mwanzo ,just intro

duuh.. kwa hiyo jamaa hana utani na uchi Wa binadamu kabisaa??
 
Back
Top Bottom