Umeniwahi Mkuu, we kiboko!
Mkuu nina epsode nyingi sana
kuhusu huyu muuaji na fuska nahofia nikitiririsha zote hapa nitamuacha
uchi huyu nyang'au. Unajua kaupotosha sana umma hasa vijana wetu
wakileo.
Mkuu, ni vyema umwache uchi ili kuwe na balance katika usimamizi wa maadili anaojifanya kuusimamia! Ni jambo jema ili aache. Tatizo lake anaamini sana kuwa ana backup ya pesa na viongozi.
Huyu hata nikiona picha yake huwa najisikia kuchefuka! Najisikia kutoa kitabu Nikisambaze nchi nzima, kuhusiana na uchafu wake lakini nahofia watu kulichukulia kisiasa hasa kutokana na mbio zake za Uongozi.
hii iko deep sana..mange pekee ndio anaweza kuielezea
Mange pekee!!!!!
Kaa hivohivo.
Watu tuna data utadhani tumezaliwa nae tumbo moja na mzee K.
hivi una habari kuwa kwanini Mange anamchukia Sumuaye!!!!
Stay tuned
Nakupa muhtasari tu habari kamili atakupa warumi
nasikia jamaa ni boifrendi wa jamaa mwingine wa bongo movie
jioni njema
jamaniiii, yaani kama unaniringishia embu halafu hunipi, so nabaki na mimate imejaa.Nani anafahamu movie nzima ya shigongo na marehemu amina chifupa? Huyy binamu ni nyoka tena Anaconda kama sio chatu, halafu sasa iv anajifanya kuandaa tuzo za mwanamke bora wa mwaka, anajua sana kuupumbaza ulimwengu, na nani alishawah kusikia anaposali huyy kiumbe?? Ntarud tena
jamani, we tiririka tumjue vizuriMkuu nina epsode nyingi sana kuhusu huyu muuaji na fuska nahofia nikitiririsha zote hapa nitamuacha uchi huyu nyang'au. Unajua kaupotosha sana umma hasa vijana wetu wakileo.
Alimfanya nini marehemu?Nani anafahamu movie nzima ya shigongo na marehemu amina chifupa? Huyy binamu ni nyoka tena Anaconda kama sio chatu, halafu sasa iv anajifanya kuandaa tuzo za mwanamke bora wa mwaka, anajua sana kuupumbaza ulimwengu, na nani alishawah kusikia anaposali huyy kiumbe?? Ntarud tena
Mkuu nina epsode nyingi sana kuhusu huyu muuaji na fuska nahofia nikitiririsha zote hapa nitamuacha uchi huyu nyang'au. Unajua kaupotosha sana umma hasa vijana wetu wakileo.