Bifu la Shigongo na Irene Uwoya

Bifu la Shigongo na Irene Uwoya

Umeniwahi Mkuu, we kiboko!

Mkuu nina epsode nyingi sana kuhusu huyu muuaji na fuska nahofia nikitiririsha zote hapa nitamuacha uchi huyu nyang'au. Unajua kaupotosha sana umma hasa vijana wetu wakileo.
 
Mkuu nina epsode nyingi sana
kuhusu huyu muuaji na fuska nahofia nikitiririsha zote hapa nitamuacha
uchi huyu nyang'au. Unajua kaupotosha sana umma hasa vijana wetu
wakileo.

Mkuu, ni vyema umwache uchi ili kuwe na balance katika usimamizi wa maadili anaojifanya kuusimamia! Ni jambo jema ili aache. Tatizo lake anaamini sana kuwa ana backup ya pesa na viongozi.
Huyu hata nikiona picha yake huwa najisikia kuchefuka! Najisikia kutoa kitabu Nikisambaze nchi nzima, kuhusiana na uchafu wake lakini nahofia watu kulichukulia kisiasa hasa kutokana na mbio zake za Uongozi.
 
Kudos! mkuu there you are! jamaa ni mtesi wa binaadam inasikitisha sana kumsikia eti mtumishi wa mungu. Mi nafikiri ingefaa tumfungulie uzi mpya kabisa just special for his black activities behind the scene so that the public can know who really Shigongo is. besides
 
Mange pekee!!!!!
Kaa hivohivo.
Watu tuna data utadhani tumezaliwa nae tumbo moja na mzee K.
hivi una habari kuwa kwanini Mange anamchukia Sumuaye!!!!
Stay tuned

Madame b tupeee sieee banaa
 
Mange pekee!!!!!
Kaa hivohivo.
Watu tuna data utadhani tumezaliwa nae tumbo moja na mzee K.
hivi una habari kuwa kwanini Mange anamchukia Sumuaye!!!!
Stay tuned

Mwaka huu lazima wakimbie jiji uchii
 
Nakupa muhtasari tu habari kamili atakupa warumi
nasikia jamaa ni boifrendi wa jamaa mwingine wa bongo movie
jioni njema

Nani anafahamu movie nzima ya shigongo na marehemu amina chifupa? Huyy binamu ni nyoka tena Anaconda kama sio chatu, halafu sasa iv anajifanya kuandaa tuzo za mwanamke bora wa mwaka, anajua sana kuupumbaza ulimwengu, na nani alishawah kusikia anaposali huyy kiumbe?? Ntarud tena
 
jamaniiii, yaani kama unaniringishia embu halafu hunipi, so nabaki na mimate imejaa.
Ila mie nipo nasubir hii habar kwa hamu zote
 
Mkuu nina epsode nyingi sana kuhusu huyu muuaji na fuska nahofia nikitiririsha zote hapa nitamuacha uchi huyu nyang'au. Unajua kaupotosha sana umma hasa vijana wetu wakileo.
jamani, we tiririka tumjue vizuri
 
Nani anafahamu movie nzima ya shigongo na marehemu amina chifupa? Huyy binamu ni nyoka tena Anaconda kama sio chatu, halafu sasa iv anajifanya kuandaa tuzo za mwanamke bora wa mwaka, anajua sana kuupumbaza ulimwengu, na nani alishawah kusikia anaposali huyy kiumbe?? Ntarud tena
Alimfanya nini marehemu?
wallah majungu mtaji, nipangie bei nilipe sh ngapi?
 
Hakuna aliyefanikiwa bila umafia kidogo....Mengi aliyoyafanya ama anayofanya hayasimuliki na nasikia alishawah kumfanya kitu mbaya sana jamaa aliyetoka na mkewe...me muoga naogopa kusema nayoyajua afu akanipata lol!kuna watu wananitegemea
 
Kuhusu Uwoya siyo kuwa walifumaniwa,isue ni kwamba Naseeb alilipwa wakaset na kameras tayari kwa picha na videos..ukitaka kuamini jiulize maswal haya,

1:walijuaje kuwa Naseeb na Uwoya wana appointment ya kukutana pale hotelini?

2:Nani aliwaeleza time ambayo watatimba hotelini hapo?
 
Hakuna aliyefanikiwa bila umafia kidogo....Mengi aliyoyafanya ama anayofanya ni ya kawaida sana japo nasikia alishawah kumfanya kitu mbaya sana jamaa aliyetoka na mkewe...me muoga naogopa...
 
Dawa ya mchawi ni kumwagia matendo yake hadharani aumbuke, hata mie nlishangaa uwoya na domo wapi na wapi ila kwel lazma ilikua setup y gpl
 
Mmhu, makubwa jamani. Madogo ya nafuu yake.

Mebaki kutoa mimacho tu
 
Mkuu nina epsode nyingi sana kuhusu huyu muuaji na fuska nahofia nikitiririsha zote hapa nitamuacha uchi huyu nyang'au. Unajua kaupotosha sana umma hasa vijana wetu wakileo.

Sa si utiririshe unaogopaje kumuacha uchi
 
Back
Top Bottom