Bifu la Shigongo na Irene Uwoya

Bifu la Shigongo na Irene Uwoya

Kudos! mkuu there you are!
jamaa ni mtesi wa binaadam inasikitisha sana kumsikia eti mtumishi wa
mungu. Mi nafikiri ingefaa tumfungulie uzi mpya kabisa just special for
his black activities behind the scene so that the public can know who
really Shigongo is. besides

Hiyo imetulia Mkuu chukua like! Ngoja Warumi aanzishe sisi tuitie nyama. I realy hate this Dude kwa kweli! Sio mtu mzuri kabisa!
 
S na A, initials za
jamaa ambae yuko kwenye tasnia ya habari, wamefika nae wapi? In terms of
kutifuana kinyesi! Nikiongezea kidogo, kila mtu atamjua!

jaman hebu kueni sereous, gazeti hilihili la champion limefikia kuwa gazeti bora la michezo, basi hakuna aliyesalama...
 
domo alikula mzigo bwana...

Inawezekana hakula , maana ndomo hanaga siri , aliulizwa akakataa, na yeye ndiye aliyeithibitishia uma kuwa aliwah kuwagonga jokate n wolper hvyo sir ikatok nje wote tukajua , ndomo hanag privacy
 
lusungo pande zip ebu timba pande izi
 
Last edited by a moderator:
S na A, initials za jamaa ambae yuko kwenye tasnia ya habari, wamefika nae wapi? In terms of kutifuana kinyesi! Nikiongezea kidogo, kila mtu atamjua!
Chineeeekeh!
Shigongo safari hii atachimba kisima afukie bahari!
 
Mngefunguka tuwaelewe kama sio waoga ni nini mbona mafumbo mengi sasa yaani Mara mzee K. Mnamwogopa shigongo nn?? Basi kulikuwa hakuna haja ya kuweka threat hapa.
 
Nimekuja binamu kuna mtu alikuita kule kwenye ubuyu juzi ulienda?

Dah yaan Jana nilipata updates zaid ya ishirin, kuna watu walini tag sema Sijui ni wapi , nikipata update zaid ya moja nashindwa kujua Uzi gani,ni wapi uko nikawakilishe binamu
 
Mkiwa na Habari tiririkeni msiogope kufa, Hata mkifa Basi maneno yenu yatakuwa yakiishi kama Patrick Lumumba japo kafa lakini anaishi maana alisimama imara kutetea kweli au kusimama imara.
Nanyi fungukeni
 
Dah yaan Jana nilipata updates zaid ya ishirin, kuna watu walini tag sema Sijui ni wapi , nikipata update zaid ya moja nashindwa kujua Uzi gani,ni wapi uko nikawakilishe binamu

Kule instagram kwa uwazinaukweli
 
Back
Top Bottom