Ni baadhi ya Watanzania ndiyo wenye roho mbaya kuona Mtanzania mwenzao kafanikiwa kimaisha. Wapo wengi wanafurahi tena wanaweza hata kukupa pongezi kwa mafanikio yako. Cheza nao mbali kabisa wale wenye roho za korosho (ntima nyongo) ukishawajua.
Kweli kabisa mkuu. Nayapitia haya ya wasiopenda wenzao wawe na mafanikio furaha
Pole sana wasikukoseshe usingizi hao. Fanya yako na lengo liwe kuongeza mafanikio zaidi.
Wanalazimisha ni comment wanavyotaka wao. Nami sipendi kuwa bendera fata upepo.
As usually naona jina la Ali kiba linatajwa kwenye thread hii isiyomuhusu why this,always??
ha ha ha ha haya Numby wakikuzoea sasa niite hapa nikupe back up hawata kuzoea tena
[emoji57] okay naona unaulizia ana nyumba ngapi..Aah ka jiwe kamenipata,si mnasemaga ni mpinzani wa dai. Ikitajwa ccm na chadema lazima itajwe
[emoji57] okay naona unaulizia ana nyumba ngapi..
Dah....niombe radhi ndg yng co watanzania wote wenye roho km hzo!Alikiba ana kipaji na pia ana meneja walioenda shule je yupo mbali kimaisha?anamiliki nyumba ngapi?
Meneja wa kwanza wa dai alikua bob juniour kisha akaja kwa babutale na salaam waliomfikisha hapo alipo. Je mlitaka abaki kwa bob juniour au aende kwa meneja gani?
Watanzania bana ukiwa na hela linawakereketa kweli ukifulia wanafurahi na sherehe wanaandaa.
Unataka kumforwadia "mazoea" ya bilnas?ha ha ha ha haya Numby wakikuzoea sasa niite hapa nikupe back up hawata kuzoea tena
Unataka kumforwadia "mazoea" ya bilnas?
Nyie ma mods mmenipa Ban mwaka mzima, mungu anawaona, mxiee nyie