Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Kweli kabisa mkuu. Nayapitia haya ya wasiopenda wenzao wawe na mafanikio furaha
Ni baadhi ya Watanzania ndiyo wenye roho mbaya kuona Mtanzania mwenzao kafanikiwa kimaisha. Wapo wengi wanafurahi tena wanaweza hata kukupa pongezi kwa mafanikio yako. Cheza nao mbali kabisa wale wenye roho za korosho (ntima nyongo) ukishawajua.