Bifu la Shigongo, Ruge na Babu Tale

Kazi ipo mwaka huu!
Ngoja nisikilize roma anasema nini halafu nitarudi huku kusoma
 
Mmmhhh ugovi wao huu ni mambo ya pesa tu
 
Naona unalalamika Vp walikuwahi kukutumbua nin
 
Huyu inaonekana hana pesa za kuajiri watu kuandika udaku, sasa inabidi afanye kazi hiyo mwenyewe kutafuta kiki za kipupwu. Na bado ataisoma namba, miaka mingi amekaa anaachia wake waandike watu vibaya na mauongo matupu.

Kumbe yeye hayapendi na hapendi ya ukweli juu yake yasemwe...kweli mie nabaki nacheka tu


Analo na akome, ameyataka mwenyewe. Pesa hapati za udaku na madili ya kutoka serikalini...anatafuta huruma akwende zake hukooooooo amejaa tamaa tu.
 
Kuna kipindi nilikua nasoma maisha ya shigongo,akijarib kugusia mvutano wake na Ruge,,mpka akina Ruge wakampenyeza na kumpandikiza demu mmoja ofisin kwa shigongo muandishi wa habar ili bahat mbaya akashtukiwa na kukiri akafukuzwa..

Unapopigana na mwenye hela na zana zote za kupiania akiwa nazo uangalie sana mwisho wako.. Kma ni maslahi kila mtu ana mitego yake,na michongo yake ila kuna atakaeaibika mbeleni.

Namkubali sana Ruge,namkubali sana Shigongo na namkubali sana Babu Tale, ila hii vita ukiitazama kwa jicho la tatu itamuangukia tale,na kwa vile ni mtu wa kupanic itamuumiza zaid

Silaha ya shigongo kwa Ruge ni mimba ya Zamarad japo sio kosa sana kubeba mimba ya boss wako ila suala la ngada linaweza kua kikwazo kidgo pia kwao....
So ukiangalia shigongo atawashinda kwa 56/44
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…