Bifu la Shigongo, Ruge na Babu Tale

Bifu la Shigongo, Ruge na Babu Tale

HII MISUKUMA SIJUI VIPI?.YAANI INATAKA KILA KONA TUWASIKIE WAO TUU.
9a12bfa8356232557cc1868c8baaff45.jpg
Epuka generalization dogo. Utakuja kula konzi za kutosha kama mwenzako Shannon Briggs hapo juu. Ohoooo!
 
yes kaka kama kuna mtu mmbaya hapa na anayetumia tasnia kuharibu na kuwaharibia watu maisha ni ruge mtahaba uku yeye akijificha kama kobe asizani watanzania wanapendezwa na tabia zake anatumia vyombo vyake na vikundi vyake kufanya uchafuzi huo haya yanamwisho wake anapoteza umaarufu wa vipindi vyake ila kaka ushauri usikae kimya mno akuanzae mmalize nakumbuka hadithi za zamani
 
na nyinyi mnaoposti bila kufikiria kama vibaraka wa kutumiwa kwa kutafuta kiki jishughurisheni hata kufikiri
 
magazeti tunasoma na kutunza kumbukumbu ila redio tunasikiliza kama mkutano na kuondoka kuyaacha hapohapo
 
Kuna kipindi nilikua nasoma maisha ya shigongo,akijarib kugusia mvutano wake na Ruge,,mpka akina Ruge wakampenyeza na kumpandikiza demu mmoja ofisin kwa shigongo muandishi wa habar ili bahat mbaya akashtukiwa na kukiri akafukuzwa..

Unapopigana na mwenye hela na zana zote za kupiania akiwa nazo uangalie sana mwisho wako.. Kma ni maslahi kila mtu ana mitego yake,na michongo yake ila kuna atakaeaibika mbeleni.

Namkubali sana Ruge,namkubali sana Shigongo na namkubali sana Babu Tale, ila hii vita ukiitazama kwa jicho la tatu itamuangukia tale,na kwa vile ni mtu wa kupanic itamuumiza zaid

Silaha ya shigongo kwa Ruge ni mimba ya Zamarad japo sio kosa sana kubeba mimba ya boss wako ila suala la ngada linaweza kua kikwazo kidgo pia kwao....
So ukiangalia shigongo atawashinda kwa 56/44
Kwanin unasema siraha ya shigongo kwa ruge ni mimba ya zamaradi kwani kuna ubaya gan
 
Ila aangalie sana timing akipambana sana na Ruge now ataonekana kutumika na makonda kutetea vyeti feki watch it
 
Back
Top Bottom