Zingatia
Senior Member
- Sep 4, 2015
- 179
- 69
Swali Tu...Kati ya hao wawili na shigongo ni nani mwenye kiki zaidi APA mjini....??.Huyu jamaa anajitahidi kutafuta kiki alianza na tale sasa kashaingia ruge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali Tu...Kati ya hao wawili na shigongo ni nani mwenye kiki zaidi APA mjini....??.Huyu jamaa anajitahidi kutafuta kiki alianza na tale sasa kashaingia ruge
Ruge mhuuni turuge sio mtu mzuri muoneni vile vile
Ameendelea kusema kuwa Dar Live ni kijiwe cha ufuska, ulevi na ngono; na kwa vile yeye ni mlokole basi huwa haendi huko - japo ndiye mmiliki[emoji23][emoji23][emoji23]Wajameni, kuna aliyesoma povu lote atupe summary kidogo? Mi nimeishia hapo watoto zake wakilala yeye huwa anakasirika!
HII MISUKUMA SIJUI VIPI?.YAANI INATAKA KILA KONA TUWASIKIE WAO TUU.
Nifah, why are you so much interested in what Zamaradi was asked about? She's just a part of the story...Hahahahaaa shoga wewe unahisi Zamaradi aliulizwa nini?
Kwanin unasema siraha ya shigongo kwa ruge ni mimba ya zamaradi kwani kuna ubaya ganKuna kipindi nilikua nasoma maisha ya shigongo,akijarib kugusia mvutano wake na Ruge,,mpka akina Ruge wakampenyeza na kumpandikiza demu mmoja ofisin kwa shigongo muandishi wa habar ili bahat mbaya akashtukiwa na kukiri akafukuzwa..
Unapopigana na mwenye hela na zana zote za kupiania akiwa nazo uangalie sana mwisho wako.. Kma ni maslahi kila mtu ana mitego yake,na michongo yake ila kuna atakaeaibika mbeleni.
Namkubali sana Ruge,namkubali sana Shigongo na namkubali sana Babu Tale, ila hii vita ukiitazama kwa jicho la tatu itamuangukia tale,na kwa vile ni mtu wa kupanic itamuumiza zaid
Silaha ya shigongo kwa Ruge ni mimba ya Zamarad japo sio kosa sana kubeba mimba ya boss wako ila suala la ngada linaweza kua kikwazo kidgo pia kwao....
So ukiangalia shigongo atawashinda kwa 56/44
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Heeee heeee kaijenga Dar live alafu anasema yeye haendi na ukimuuliza atawahi kukujibu yeye mlokole na amempokea Yesu [emoji23][emoji23] nahisi Mungu kila siku anapanua eneo la kutuchomea moto maana tuko wengi.