Bifu la Tunda na Lulu

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Hii video mpya ya diamond pamoja na Raymond imenikosha, ila najiuliza tu kwa nn kaka yetu hakumtumia Lulu na badala yake akamtumia tunda? Au aliogopa kukutanisha mafahali wawili katika zizi moja(Lulu na hamisa), by the way tunda alijitahidi sana, lakini nawaza tu kama Lulu ataipost hii video kwa account yake ya instagram kutokana na bifu waliokua nalo kati yake na hamisa, pia inasemekna mrembo huyo hapatani na tunda, inasemekana tunda amekua tishio hivi karibuni kwa muigizaji huyo,kuna kipindi walionekana wote maeneo ya mlimani lakini kila mtu alikua na hamsini zake utadhani hawajuani, tunda amekua tishio kwa Lulu, hvyo anaogopa mtoto huyo mwenye uzuri wa aina yake kumuaribia soko kwenye film hata wanaume.
 
Yaaaaah naunga mkono hoja
 
Tatizo wakishaanza kuitwa mabosi tu ,ishakuwa tabu...lazima watafute bongo movie wawavue chupi ....wanawake wa bongo movie hawana mapenzi wao ni pesa mbele.....mtu mwenye heshima zake kama majey alitakiwa amtafute mwanamke asiye na jina ,,amwoe..sio hawa wa bongo.movie...utaskia mda sio mrefu.....yangu macho
 
Bngo movie bichz wengi
 
Ningekuwa ndo mim ningewapiga mimba wote hao kwisha habar yao pumba.vu
 
Lulu ndiye yule eti wanasemaga
Marehemu
kanumba
Komba
Nawengine wote majina yao
Yenye " K " au kuishiwa na Mba
Alikuaga nao karibu sana.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] namuonea huruma KAYUMBA[emoji32] [emoji32] [emoji32] [emoji32] [emoji32] [emoji32]
 
Huyo majey naye hana akili kuhangaika na hawa malaya wapenda pesa,ajifunze kwa kanumba kilichomkuta,,
wee acha mkuu uke hauna baunsa usishangae mtoto mdogo analicontrol libaba mpaka linalia
 
Lulu huwezi kumfananisha na Tunda, Mpeni heshima hata kidogo. Mastaa wote mpaka Wema wamemkuta Lulu kwenye ustaa, staa ambaye nuru yake iliwaka toka mtoto, na bado yupo fresh mpaka leo. Ni haki kumlinganisha na huyo mzunguka lorge na Mahotel akiuza kipapa? Tuwe fair..
 
Chukua hzo 100% mkuu,
 
Itatupa shida sana kuzoea life style la hawa vijana, cha msingi ni kuelewa tu kuwa wote wapo kikazi zaidi na wote ni mamodo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…