warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Hii video mpya ya diamond pamoja na Raymond imenikosha, ila najiuliza tu kwa nn kaka yetu hakumtumia Lulu na badala yake akamtumia tunda? Au aliogopa kukutanisha mafahali wawili katika zizi moja(Lulu na hamisa), by the way tunda alijitahidi sana, lakini nawaza tu kama Lulu ataipost hii video kwa account yake ya instagram kutokana na bifu waliokua nalo kati yake na hamisa, pia inasemekna mrembo huyo hapatani na tunda, inasemekana tunda amekua tishio hivi karibuni kwa muigizaji huyo,kuna kipindi walionekana wote maeneo ya mlimani lakini kila mtu alikua na hamsini zake utadhani hawajuani, tunda amekua tishio kwa Lulu, hvyo anaogopa mtoto huyo mwenye uzuri wa aina yake kumuaribia soko kwenye film hata wanaume.